radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,253
Kama mpo humu na mnapitia jaribuni kumsaidia yule dada anashinda Kinondoni Studio/ Vijana stend ya magari ya Posta ni mjamzito anaendelea kutumia unga jambo ambalo ni hatari kwa mtoto aliepo tumboni mwake kwani mtoto anaathirika kupitia matumizi ya midaharati ya mama yake.