micaely michael Member Joined Jul 31, 2015 Posts 85 Reaction score 9 Nov 26, 2015 #1 _je!! ni sahihi mwanamme kufungwa jela kwa kosa la kumpatia mwanafunzi mimba.. _je! ni sahihi mwanamke kufukuzwa shule kwa kosa la kupata ujauzito,.. ndio au hapana alafu elezea.... ___
_je!! ni sahihi mwanamme kufungwa jela kwa kosa la kumpatia mwanafunzi mimba.. _je! ni sahihi mwanamke kufukuzwa shule kwa kosa la kupata ujauzito,.. ndio au hapana alafu elezea.... ___
Tamatheo JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,298 Reaction score 1,562 Nov 26, 2015 #2 Nahisi ulikuwa na mzuka wa kuandika chochote na bahati mbaya akili ndogo ikasimamia show.
C CHIEF JJ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,075 Reaction score 358 Nov 26, 2015 #3 micaely michael said: _je!! ni sahihi mwanamme kufungwa jela kwa kosa la kumpatia mwanafunzi mimba.. _je! ni sahihi mwanamke kufukuzwa shule kwa kosa la kupata ujauzito,.. ndio au hapana alafu elezea.... ___ Click to expand... anza tutuion si mshafunga shule dogo
micaely michael said: _je!! ni sahihi mwanamme kufungwa jela kwa kosa la kumpatia mwanafunzi mimba.. _je! ni sahihi mwanamke kufukuzwa shule kwa kosa la kupata ujauzito,.. ndio au hapana alafu elezea.... ___ Click to expand... anza tutuion si mshafunga shule dogo
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,584 Reaction score 2,056 Nov 26, 2015 #4 Peleka jukwaa usika thread yakoo