Haki ya Mungu nilikuwa sipigi chabo………………….!

duh sasa nyumba kama hizihazina siling board sasa usiku wakati wa mechi jiran unafaidije? manake wao wana do wee unapata stimu chumba cha pili.
 
......







Duh!


Uswazi! lakini kaka mkuu si kiaina ulipoinama uliona mzigo??

Tehe tehe tehe!!

Mie pia nishawahi kukutana na mikasa ya ajabu kama hii,....

Mmoja nilishautoa humu.."nilimpapasa mke wa mjoba.... yaani!! hadi ******!!....."

Nyingine ilinitia aibu... na inaendelea kunitia abu kila siku....naona aibu hata kuileta humu!!






Any way ndio maisha!!!




......
 
Mtambuzi Mkuu!
Umenikumbusha kisa mbadala. Kuna kijana maarufu
kwa wizi mtaani, alikwenda kuchungulia dirishani ili
akate waya wa dirisha na kuiba kilichopo mezani.

Bahati mbaya kuna mpita njia alimuona na kumpigia
Mwiziiiiiii! Alifukuzwa na kukamatwa, lakini akajitetea
"Mimi sikwenda kuiba, nilikuwa piga chabo tu."Liwalo na Liwe."
Iwe ni kwa wizi au chabo, jamaa alichezea kisago.
 
Last edited by a moderator:
Pole aisee, ila naamini kwa changamoto hiyo ilikusaidia kumtafuta na wewe wa kwako kuondoka na adha ya kuonekana unapiga chabo wake za watu wakati wanaoga!!! Nashawishika kuamini kuwa Mama Ngina ulimpata baada ya hiyo vurugu! :eek2:
 
mtaani.jpg
eeenh hapo sasa!!!! na ukitoka kuoga unapita hapo kwenye tope.....eish! maisha bora kwa kila mtz:israel:
 
mtaani.jpg
eeenh hapo sasa!!!! na ukitoka kuoga unapita hapo kwenye tope.....eish! maisha bora kwa kila mtz:israel:
Uzuri wa uswahilini, wakati huo nilipokuwa mkware, totoz walikuwa wa kumwaga tena kuku mitetea kwa gharama sawa na bure.....................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom