kama unahisi umeoniwa una haki ya kukata rufaa kwani kuna mahakama ambazo hazina power ya kuamua baadhi ya kesi na mahakama zipo kwaajili ya kuprovide haki za watu zisipotee, rufaa pia huweza kuchukua muda kwani inabidi wasikilize kesi upya na pia maamuzi yakiyotolewa mwanzo kama yalikosewa au hapana.