Haki sawa

Haki sawa baina ya mwanamke na mwaume siyo vizuri...

Kila mmoja afanye majukumu yake... mwanaume awe provider, mwanamke awe entertainer basi...



Cc: mahondaw
 
Maslay queen watapita kimya kimya kama hawajaona kitu hii
 
tulipofika sio pazuri kabisa,,ona jinsi marijali wa mkoa wa mara wanavyofanywa na hii kampeni ya 50/50,,wanawake haki sawa sio kuwafanye muwe na viburi na kuwafanya mtake kupendelewa zaidi.
 
Naona mnataka tuwadanganye tu hapa.

Nionavyo kikubwa kuishi vile ambavyo kila wawili wanaona hiyo ndio 50/50 yao.
ni kweli ila tatizo mwanamke akishaona umempa hiyo 50 anayotaka anaanza kulilia 60. na hapo ndipo unaanza kuona mahusiano yanaanza kuyumba
 
ni kweli ila tatizo mwanamke akishaona umempa hiyo 50 anayotaka anaanza kulilia 60. na hapo ndipo unaanza kuona mahusiano yanaanza kuyumba
Nionavyo maelewano ndio kitu kikubwa Mkuu na ikitokea kila mmoja akaridhia basi wala hakuna atakayehitaji zaidi.

Na ndio sababu usishangae wenye furaha, mafanikio ni wale ambao kila mmoja akipata chake wanaeka mezani na kuanza kuchanganua nini cha kufanya kwa mwezi mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…