Haki Sawa: Mzigo Mpya toka Bongo Records

Haki Sawa: Mzigo Mpya toka Bongo Records

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
Ngoma yenyewe hii hapa sasa Haki sawa

1662680_647485211985218_1700774075_n.jpg

51.jpg

Zaidi ya wasanii kumi watakuwa kwenye huu wimbo pqmoja mh January Makamba Sugu n.k
Inazungumzia kutambulika kwa sanaa KIKATIBA pamoja na kuwepo kwa MILIKI BUNIFU ambayo italinda kazi za sanaa na ubunifu wa Watanzania mbali mbali
 
Hatua nzuri wemepiga,nawapongeza sana
 
Wameona hayo tu,huyo Makamba ndio anatafuta kura au?
 
Lazima litoke pini la maana chini ya supa dupa duza man P funk a.k.a dr dre wa bongo
 
kwani wakati unajiunga jf uliambiwa ni lazima uchangie kila thread?...uhoni hao ni wasanii na wanapambania sanaa yao,we ulitaka mengine yepi?

Nawe wakati unajiunga jf uliambiwa lazima unijibu mie au hata we sio lazima uchangie!!
 
Nadhanipaka nakufa produza kama p funk atakuwa ajazaliwa apa Bongo land.

Jamaa yuko safi sana, Sijui kwa nn wann haendelei kama zamani.

Humu ndani punchline sio za kitoto, nilsubiri muda mrefu sana kuona joint kama hii. Joh, fid, kalapina,
 
Back
Top Bottom