figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,560
- 62,132
mbona dem kama analia vp? au kabakwa! du pole mama
hilo ni vumbi mkuu. unafikiri kushikilia kwa kilometa 82 mchezo?.mia
hapo wapo kijiji cha mpapa,halafu kijiji cha tingi.mpaka dar pori.
Alaaaa kumbe unapita mpapa mpaka Tingi!!!!! mi nilidhani wanapitia Liparamba.
gujumwike lena gwe capitano?