Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,065
Mimi sio mwanasiasa ila kumekua na mvutano wa kimaneno kwa wanasiasa ila naona Wengi Neno Haki Hawalizungumzi, nawaomba Wenye Mamlaka Tazameni Haki, Palipo na Haki Amani Utamalaki.
Pia Punguzeni kufanya mambo kwa Maslai ya Tumbo, pia kutazama Maslai ya watu Fulani( Kikundi Cha watu)
Neno Amani limekua kwenye mdomo wa Kila mwanasiasa na Raia wema. neno Haki alitamkwi na wanasiasa walioko kwenye Mamlaka. Nawaomba mfanye Harakati zenu kwa Haki.