Haki ipo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki ipo wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Nyuki baby, May 27, 2012.

 1. N

  Nyuki baby Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeamia kwenye nyumba miez 3 iliyopita nimelipa kodi ya miez 6! Wiki 2 zilizo pita choo kimejaa! Mwenye nyumba anataka 2change pesa 2wezekuvuta! Mi na wangaji wenzangu 2megoma mwenye nyumba kadai tutajijuu kwa kuwa yeye aishi hapa! Nina wik2 ninaoga kwa rafiki yangu! Je 2nahaki ya kuchanga pesa au vp jamani?
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  yaani huyo mwenye nyuma yako ni mtu mzur sana he is giving you brain kwani adha za kupanga zinafanyaa wengine tuhamie kwenye nyumba bila milango na madirisha. hope kwa adha hiyo hutanywea pombe hela yako ila utaanza ujenz kidogo kidogo. hata wa single room
   
Loading...