Sema Kweli
Member
- Apr 12, 2013
- 53
- 20
Jamani bunge la Tz linahitaji maombi ama labda livunjwe waanze upya,matusi bora ya Wabunge wa CCM Bungeni,Peter Serukamba come on ---- you,yeye anaendelea hajatolewa nje na walinzi wa Bunge,Juma Nkamia siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa,yuko mjengoni anakinga posho,Silvester Mabumba Wabunge wa Chadema wanawashwa loooh!naye hakuna mwongozo hapa?Lusinde,kuna Wabunge humu wana Mimba zisizotarajiwa,naye yuko mjengoni anasaini senti kama kawa,Nchemba wakati baba akiongea mtoto wa kiume akae kimya,nae yuko ukumbini,lakini Tundu Lisu kuomba mwongozo imekuwa tatizo na kufukuzwa Bungeni kama vile si mbunge halali,kwa haya ni hatari na Nchi inaweza kuingia kwenye vita wakati wowote hivyo basi ni kujitahidi kuyakataa kabisa na kuikataa CCM,Chama ambacho mwelekeo wake unayumba kwa kiwango kikubwa