Haki huinua Taifa

Haki huinua Taifa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata mgombea urais wa CCM bila ya matambiko kufanyika.

Magufuli ni mlokole na mwenye hofu ya Mungu.

Tanzania sasa itanyooka, naam itanyoka.

Haki itapatikana na si upendeleo. Mwizi atatajwa kwa jina la mwizi, na atahukumiwa sawa kwa kosa lake.

Haiwezekeni uibe mabilioni ya Umma halafu uhukumiwe kifungo cha nje.
 
Ameshasema wezi,mafisadi,wala rushwa,wavivu na wazembe atawashughulikia KWA UPOLEE!!
 
Haki bila toba hatarajiwi, akifanya toba na kutengana na waovu neno mlokole litamfaa na muda wa kufanya hivyo bado anao na walau atajiongezea kuaminika!
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata mgombea urais wa CCM bila ya matambiko kufanyika.

Magufuli ni mlokole na mwenye hofu ya Mungu.

Tanzania sasa itanyooka, naam itanyoka.

Haki itapatikana na si upendeleo. Mwizi atatajwa kwa jina la mwizi, na atahukumiwa sawa kwa kosa lake.

Haiwezekeni uibe mabilioni ya Umma halafu uhukumiwe kifungo cha nje.
kumbe akina kilaini mko wengi. eti Jk chaguo la Mungu -kiko wapi?
 
Kumbe Moravian nao ni Walokole,mbona sasa Walokole wenyewe wanawabagua haya makanisa ya Kiprotestant chini ya CCT anglican,Moravian,Lutheran na Baptist kuwa hawa si walokole kama wao pentecoste kina TAG na mengineyo ya uamsho
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata mgombea urais wa CCM bila ya matambiko kufanyika.

Magufuli ni mlokole na mwenye hofu ya Mungu.

Tanzania sasa itanyooka, naam itanyoka.

Haki itapatikana na si upendeleo. Mwizi atatajwa kwa jina la mwizi, na atahukumiwa sawa kwa kosa lake.

Haiwezekeni uibe mabilioni ya Umma halafu uhukumiwe kifungo cha nje.

Hata Rais Piere Nkurunzinza ni mlokole sikiliza nikuambie chama ni taasisi na haiongozwi na mti mmoja na mfumo wa ccm uliopo sasa hivi hata ashuke malaika hataweza kuongoza zaidi ya kuchafuka, pili linapokuja maslahi ya chama unajua nini maana ya kulinda maslahi mmya chama ? Na ile ccm ya enzi za Mwalimu si hii ya sasa kuna ccm ya azimio la zanzibar na huyu huyu Magufuli si ndio yule aliyr lehusika kuuza nyumba za serikali na mpaka leo kuna viongozi wanaishi nyumba za kupanga:what::banghead:

Ile kivuko mbofumbofu ya bagamoyo sio huyu aliyeileta? Vipi jangwani haiingii akilini serikali kuwaamisha watu waende mabwepande kutoka jangwani halafu serikali hiyohiyo inajenga ofisi sehemu ya mkondo wa maji na hii wizara ipo chini ya Ndg Magufuli , Hivi watanganyika ni nani aliyetuloga? Mungu akunyime vyote lakini akupe akili na maarifa utakuwa umepata fungu lililo jema sana.
 
Hata Nyalandu waziri wa utalii ni mlokole tangu Enzi za shule akiwa kiongozi wa UKWATA kule Arusha.
 
Nawewe unaamini?

Watu wanashangilia tu ila wangejua yanayoendelea nyuma ya kapeti wasingetamani.
Kwa taarifa za uhakika jamaa alitaka ajiunge upinzani leo hii wametumwa watu akiwemo huyo nape na wafanyabiashara flani kwenda kuongea naye asijiunge upinzani akawalipua na inavyoelekea kakubari.
Swali ni je kahadiwa kitu gani?
Mimi nimechoka hakuna atakaye kuja kubadilisha Tanzania
 
Back
Top Bottom