englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Lol umenikumbusha mbali tulikuwa tunapewa adhabu za kuinama unazungusha mikono kwenye mapaja na kushika masikio jamani
Aaaah wale wa tuliosoma uswaz si kitu kigeni unatoka kata 'x' unadamka asubuh unawahi namba kata 'Y'
af hamna daladala, na wakat huo jana tuliagizwa
:-Jembe la kumia na Kuni ya kupikia utaona watu wa umitashunta sijui wamekuja wanalala madarasani kwaajili ya kupikia, mkilundika shule nzima mzee lori kadhaa
:-wakat huohuo umebeba Jiwe kwaajili ya bustani mnayarundika then kila mtu ataweka kwenye bustan yake!
:-KIDUMU NA UFAGIO hivyo default usiulize
Na linamba lenyewe mwisho wa siku unachelewa, maua hukumagilia, unakuta zamu yako kufagia class na ulichelewa li-kilanja limeandika majina na ukuda wake!! Kama Jkt vile
sasa tuseme ukweli adhabu kama hii itakupita kweli! Sis tulikuwa tunanyanyua mawe tuloleta kila jiwe na mkono wake!!!!!
nimechoka kuendelea st. Kayumba noma

Nimeipenda maana wtt wa digital watundu ajabu...