johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
anatafsiria wasiosikia ,viziwiMh hâta mimi čajů
anatafsiri kwa wasiosikia viziwi ,bubuMh hâta mimi čajů
Asante now i knowHuyo kawekwa special kwa viziwi ambao hawayasikii yanayosemwa.. Kwa hivyo. Huyoo jamaa.. Kazi yake kuwaeleza kwa lugha na ishara maalum ambayo viziwi wanaifahamu..
Itasaidia sana mkuu lakini mbona viziwi wanacheza mziki?Na imeagizwa kila TV kuwa na huyo MTU,kwa ajili ya wenzetu wasiosikia
[emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121]masta kwaya
Hakuna ya vipofu?anatafsiria wasiosikia ,viziwi
Kila Tv, na video pia?Na imeagizwa kila TV kuwa na huyo MTU,kwa ajili ya wenzetu wasiosikia
[emoji121] [emoji121] [emoji121] Nafikiri [emoji442] [emoji442] hizi zinawasaidia mkuu [emoji23] [emoji23]Hakuna ya vipofu?