Haka katoto katanitoa roho jamani.

hahahaha......nakwambia mpaka nyimbo za diamond nimekremisha...vitoto vyasikuhizi havina adabu angalau ujue nyimbo mbili tatu za diamond ndio utavipata. Nilivyoikariri nyimbo ya "my number one" sasa, mpaka kuucheza huu wimbo naujua. kwi.kwi.kwi.

Hajakunyolesha kiduku kweli hako kabinti.
 
Huyo mkali ndo mzuri.....hujuwai kuona geti limeandikwa mbwa mkali lakini bado wezi wanaiba. Kama yuko huku mwambie kuibia lazima....kwi.kwi.kwi. ngoja nisubiri.

Yuko hapa hapa anakuangalia tu akija kukufosaro mie simo.
 
Usilojua ni sawa na usiku wa kiza!

Sijamaanisha kama natu.kana hapo ulipo bold, kimtazamo wangu nilivyosoma thread yake limbukeni ni kwamba kanogewa saaaana na haka katoto. Yawezekana labda thread hii ni muendelezo wa nyingine, hapo kweli kwangu mimi ni usiku wa giza.
 
Shukrani benteke umenifanya nicheke nikiwa na huu uchovu.
 
Last edited by a moderator:
Amekupa nini hadi umevurugikiwa hivyo? Ni hivi hivi tunavyopewa kila siku au kakufyonza sehemu?
 

Ndiyo raha na karaha za kuanza mchepuko ukubwani! wenyewe walioanza mawiwo hawababaishwi na vigoli uchwara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…