Haka katabia haka...

Sasa atajuaje kama unalalamika? Maana nimemsearch humu JF ili nikusaidie kumwambia bahati mbaya hajajiunga JF. Labda yupo facebook kwa watoto!
 
Sasa atajuaje kama unalalamika? Maana nimemsearch humu JF ili nikusaidie kumwambia bahati mbaya hajajiunga JF. Labda yupo facebook kwa watoto!

mfate hukohuko!!
 
Hahahahaha, mara nyingi kamsemi kao ni " una buku au jero ya karibu ntakurudishia baadae nkunchenchi yangu"Wapo wengi wa ivo.
 
asanteee ila umesahau kutaja rangi ya lipstik! nasagesti iwe nyeupe peee ili hata nikiwa kweny giza totoro utaziona lips so utajua msafishaji mwenzangu yule palee!

Ahahaha...utatufaa sana wewe! Kajina kako kagumu kweli...nahisi tunadike tu MAHONDAW inatosha!!!
 
una buku ya karibu....

kwi kwiiiii kwiiiiiiiiiiiiiii
 
Hahahahaha, mara nyingi kamsemi kao ni " una buku au jero ya karibu ntakurudishia baadae nkunchenchi yangu"Wapo wengi wa ivo.

sana kaka, au utasikia hebu n'tupie jero la fasta hapo KIONGOZI, halafu anamalizia kwa kukupamba na jina kuuuuuubwa ili ulainike eg mkuu, kiongozi, mkurugenzi, boss nk. Mjini hapa kuna mengi
 
here is the plan.. kesho akija na elfu 10 yake akitaka buku, na wewe mwoneshe elfu 10
 
una 5000 hapo,enhe nipatie ,chukua hii 2000 kwanza ngoja nimpatie balance yake afu MANYOAAAAAAAAAAA
 
una jero la karibu hapo!!!??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…