kam hutajali elimu yako umeishia wapi? maana sio issue kusema office mate!
Habari za mwisho wa mwezi?
Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.
Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?
hah haakindergaten 96 std seven 2003, olevo 2007, advance 2010, varsity 2013 masters probably 2 yrs to come! nikuulize wewe mi najua nipo sahihi ndomana kuna class mate, room mate, office mate n.k acha kukariri wewee.
asee bora tu nije huko itakua nipe nikupe sio kila siku mi nakupaa tu!
Habari za mwisho wa mwezi?
Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.
Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?
mdau watu tunataka kukupa hekima. wakati utakapopata hiyo masters yako ya voda faster two years to come nitakuwa na miaka saba toka mimi nimeipata na miaka kumi ya exerience. basi kama una elimu hiyo kiasi then unauliza au kuomba ushauri mnyonge hivyo basi wewe ni janga lingine kwa taifa hili.

Sasa hili nalo la kuomba Ushauri?seriously?
kuzoa na kwenda kutupa takataka naona hii itanifaa zaidi.
ndo ukubali kuambiwa na kushaurika maana wengine humu sio watoto!ukilinganisha kijana na mzee automatic mzee atakua na experience zaidi. Taifa lenyewe tu janga.!
Habari za mwisho wa mwezi?
Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.
Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?
ukilinganisha kijana na mzee automatic mzee atakua na experience zaidi. Taifa lenyewe tu janga.! umeshinda mwalimu