Haka Kajamaa kana akili sana

Dah, jamaa anajiamini kichizi, me siwezi aisee, ningejishtukia.
 
Mimi ile siku ya kwanza tu ningestukiwa
 
Between the ages of 16 and 21, he successfully posed as an
airline pilot, an attorney, a college professor and a
pediatrician, in addition to cashing $2.5 million in
fraudulent checks in every state and 26 foreign countries.
Apprehended by the French police when he was 21 years
old, he served time in the French, Swedish and U. S. prison
systems. After five years he was released on the condition
that he would help the federal government, without
remuneration, by teaching and assisting federal law
enforcement agencies....


Kwa info zaidi
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Frank_Abagnale
 
Yupo vizuri lakini kuna baba lao bingwa wa fraud anaitwa FRANK ABAGNALE JR......[/QUOTErd]

Jamaa nilisikia story zake, pia kuna movie yake imechezwa na Leonardo DiCaprio kama sikosei.
 
Jamaaa naye yupo gifted saana, hiyo movie ni "Catch Me If You Can" pamoja na kitabu chake.... Lakini Pia walienda mbele zaidi hadi kutengeneza series kutokana na visa vya huyo jamaa ya itwa "White Collar"...
 
Wachina kwa misosi achana nao, mgahawa ukiwa na buffet wakiingia wachina watano biashara imekwisha.

Nawajua mkuu, Wachina kwa kupiga msosi, zao ni mdogo mdogo hawaachi kitu.
 
Hawa majamaa ukitaka kujua wanakula sana hebu share toilet moja na wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…