Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
habari za asubuhi wanajamvi! Hope wote mko pouwa,wapi Lara1 na Evelyn Salt?
Asubuhii hii baada ya kuclear viporo na baadhi ya kazi za ofisi kaja jamaa yangu mmoja hadi kwenye working station yangu ana stress kibao anataka ushauri.
Anasema yupo kwenye ndoa ni miezi 3 sasa ila kikubwa ni kuwa mkewe haelewi lugha ya mapenzi.
Kivipi basi? Jamaa anazidi kufunguka kuwa as far as anavyofahamu mapenzi ni kuwa kuna viashiria mtu huvionesha kama anahitaji sexual healing kama vile kumtomasa mwenzie kwa huba na kumkiss sensitive areas and the guy claims to have shown all of them kwa mkewe ila sasa mkewe ndio hana response. Kivipi? Anaweza kushow all the signs ila wife akawa mkavu hadi jamb atoe verbal request ndio apewe mzigo!(eti my dia naomba p***i! Kidogo nicheke wakati nasimuliwa)
anasema leo ni siku ya 13 tangu mara ya mwisho apewe mzigo. Hayo ni kwa kifupi tu.
Kabla ya kumshauri nimemwambia anipe muda ili nipambanue.
Nilichopanga kumuambia ni kuwa apange muda especially this weekend waende outing kama cku 2 either Bagamoyo au Zanzibar then wazungumze nini kifanyike na jamaa atoe ya moyoni. Naombeni more constructive ideas wanajamvi ili niweze kumshauri huyu jamaa
mkuu kila kitu ni kipaji cha mtu huwezi kumlazimisha mtu akubali jinsi alivyo