Uko sahihi mkuu nikweli hakuna mkamilifu lkn ilitakiwa awe mwepesi wa kuomba msamaa na kujitahidi kutorudia kosa ila huyo hajielewi kabisa ingawa wenginene wanamtetea mimi ningelimtetetea kama ni bint mdogo mtu mzima huyo hajua umuhimu wa babamkwe tena unapewa nafac ya kutambulishwa anakataa.kaa nae mbaliMtu wa miaka 27 hajui kama hili ni kosa? Huwa tunawajenga mabint wadogo wa below 25 unafanya kama unakalea kukaelekeza what is right and wrong. Yeye unamuambia na bado yuko baridi.
Sent using my Nokia Torch
Sent using Jamii Forums mobile app