Hajui kwanini nilimuacha...

Mtu wa miaka 27 hajui kama hili ni kosa? Huwa tunawajenga mabint wadogo wa below 25 unafanya kama unakalea kukaelekeza what is right and wrong. Yeye unamuambia na bado yuko baridi.

Sent using my Nokia Torch
Uko sahihi mkuu nikweli hakuna mkamilifu lkn ilitakiwa awe mwepesi wa kuomba msamaa na kujitahidi kutorudia kosa ila huyo hajielewi kabisa ingawa wenginene wanamtetea mimi ningelimtetetea kama ni bint mdogo mtu mzima huyo hajua umuhimu wa babamkwe tena unapewa nafac ya kutambulishwa anakataa.kaa nae mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya vitu vibaya kumfanyia mwenzako ni kumuacha bila kumwambia sababu. Ni wazi kuwa amekosea lakini pia inabidi umwambie. Kama asipojikerebisha kwako basi mpe nafasi akajirekebishe mahusiano yake yatakayokuja. Au toka umekua nae ni mateso tu mpaka sasa

After all we're only human

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi simu ya tochi haijijui? Hata kudhani imekuwa iPhone au Samsung? Mwanamke anajua wapi kakosea tokea mwanzo anajua anapima maji ila hujitoa fahamu pale anapo wachwa. Huyu jamaa anaonekana ana huruma sana. Kama mimi huyo mbulula nishatupa kule zamani sana kabla hata dingi hajafika home.


Ndukiiiii🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Moja ya vitu vibaya kumfanyia mwenzako ni kumuacha bila kumwambia sababu. Ni wazi kuwa amekosea lakini pia inabidi umwambie. Kama asipojikerebisha kwako basi mpe nafasi akajirekebishe mahusiano yake yatakayokuja. Au toka umekua nae ni mateso tu mpaka sasa

After all we're only human

Sent using Jamii Forums mobile app
Correct. Hongera sana kwa kulitambua hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana hujui kuna mtu anakosea pasipo kujua kama anakosea.


Sasa huyu unategemea Akukose kama ivo alafu usimwambie??!. Yaaan yee ni malaika .


Sijaona jitihada yoyote ktk uzi uloifanya ili atambue kosa lake au juhudi za kumbadilisha.

Aaahh naishia hapa ...Mwambia alipokosea.. Ili mradi tu ni Wife material. Mengine waweza mbadilisha , asipobadilika ndo sasa unamtema.


Alafu, umeshamwacha? Maana kuna mahali umesema "Namwacha".
Yah hili ndilo alilotakiwa kulifanya huyu kijana wetu, sio hizi brah brah za kitukufu.

Wala simtetei huyo mwanamke, ila najaribu kuonyesha maana ya dhana ya "mwanaume ndio kichwa cha familia".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Hii story yaweza kuwa ndefu lakini ntaifupisha kadri niwezavyo.

Nilimfahamu mwaka 2016, msichana Renatha (sio jina lake halisi) kupitia best yangu. Yeye na best ni watu wa vijiji jirani huko kwao na kuna undugu wa mbali kidogo sababu kuna watu waliowana hapo kati kati yao. Ni mpole na mkimya kwa watu asiowafahamu. Ila ni msemaji (muongeaji) mzuri tu akiwa na watu anaowafahamu. Nilipomuona sikuwahi kufikiria kumtongoza na alikua bado anasoma diploma yake chuo fulani. Nilimchukulia kama dada tu na hata alikua akiniamkia kabisa. Baadae nikaja gundua nimemzidi miaka 3 tu sema alichelewa kupata elimu na vile mi nilikua na wadhifa kazini kwangu huko aliniona mtu mkubwa sana.

Katika mazungumzo yangu na best yangu aliwahi kuniambia kama ninataka mwanamke wa kuowa, Renatha anaweza nifaa. Ni katika utani wala sikuwahi kufanya ukweli. Ila mwaka jana 2018 niliamua kumtafuta Renatha. Kwa vile namba yake nilikua nayo, haikuwa kazi ngumu kumpata.

Nikapanga naye kuonana katika mgahawa fulani na nikamweleza nilichomuitia. Alishtuka lakini akaahidi atanipa majibu kadri atakavyoona inafaa. A month later we were lovers. Na chit chat za hapa na pale. Weekend alipenda kuja kwangu. Na ndipo nilikuja kugundua ni muongeaji mno wala si mtu mkimya. Hata kauli chafu anazo sana tu.

Siku moja tukiwa ndani kwangu nilitaka "kumla" kwa mara ya kwanza. Nikaanza michezo ya hapa na pale. Lakini hakuonesha utayari, na kweli hakuwa tayari siku ile. Niliact kutumia nguvu kumvuta kumrudisha kitandani nijue kama atakaza, akalegea akarudi lakini macho yamemtoka na amefura. Nikamwacha. Nilileta pc tucheki movie. Akiwa karudi katika hali kawaida akaniuliza, hivi ulitaka kuni naniliu kweli? Nikacheka tu....akasema WE JICHEKESHE TU KAMA SHOGA KAONA WALLET. Nikamuangalia usoni nikacheka tena akarudia maneno hayo. Nikajiuliza amepata wapi ujasiri wa kumwambia mpenzi mpya maneno kama haya? Nnachojua mimi wakati wa mwanzo ndio wakati mtu anabehave vizuri sana. Achilia mbali mpenzi mpya, yaani mimi mwanaume unifananishe na shoga? Nilimsema siku chache baadaye kuwa sikupenda kauli yake.

Shida yake kubwa ni kuweka kinyongo. Unaweza fanya jambo la utani kwake akakasirika. Mkasolve. Lakini kuna siku akakumbushia jambo lile lile. Na ugomvi wetu mkubwa ulikua ni yeye kuniomba pesa kwa ajili ya sare za harusi za uswazi. I hate this. Ingekuwa 1 at a time ni sawa. Kila mwezi ni harusi anataka sare. Nikawa namtania "mama shughuli". Lakini nilikua nikimpa. Kuna siku nikamwambia huwezi mridhisha kila mtu, sio kila tukio uende. Mengine unatulia tu. Nilimvumilia tukienda hivyo.

Kuna kipindi aliumwa sana siku 3, siku ya 3 ndio ananiambia. Kuuliza kama ameenda hospital jibu hapana, familia haiko njema, na ni kweli. Naye yuko tu home unemployed. Ndio sababu hata alichelewa shule sababu kuna time alikaa tu home akikosa msaada. Nikamtumia pesa aende hospitali. Baadae nikahoji kwanini hakuniambia siku zote hizo habari za ugonjwa wake mpaka ameandikiwa sindano 5 na madawa mengi? Akasema alipanga kutoniambia ila tu hali ilizidi kumbana akawa hana namna. Sababu? Akajibu huwa namuona yeye mtumiaji hovyo wa pesa hasa za kununua sare na kumwita mama shughuli basi alipanga kutoniambia jambo lake lolote litakalohitaji pesa. I was shocked! Sikujibu kitu.

Kingine, ukimuuliza kitu hasa kupitia sms na anapoona kakosea anaamua ajibu au asijibu. Ataishia hapo. Ila baadae atakutafuta na kuanzisha mada nyingine. Labda atauliza kama nimerudi toka kazini ama la. Anaweza kwenda safari yake ila akipata tatizo huko atanipigia nimsaidie. Nikihoji mbona sina taarifa ya hiyo safari atakaa kimya. Hii ishatokea mara 2. Kuna siku alikua anaenda ofisi fulani akapotea akanipigia nimpe msaada. Mara nyingine, nauli imemuishia so nimuongezee nauli arudi nyumbani. Ila wakati anatoka kwao sikuwa na taarifa. Nikawaza, siku napata taarifa mpenzi wangu amegongwa na gari huko mbali na kwao nitajisikiaje?

Punde tu baba yangu alilazwa hospitali. Kwa siku zote 11 alizokuwa mgonjwa hakuwahi kuja kumuona hata siku 1. Walikuja marafiki zangu kadha wa kadha na ndugu na jamaa. Mtu wa kunipa faraja ndio yuko kimya. Inaweza pita siku nzima asiulize hata hali ya mginjwa. Mungu si Athumani, baba yake mkubwa akaanza kuumwa na kulazwa Muhimbili. Kila siku alikua anaenda kama si mchana basi jioni. Kwa kweli nilikosa courage ya kwenda.

Mzee wangu akaruhusiwa na nilikua naye kwangu kwa siku kadhaa kabla hajarudi home. Ilikua weekend, Renatha akaniuliza kama nipo kwangu nikamjibu ndio ila nipo na baba. Taarifa ikamshitua kumbe baba niko naye kwangu. Akasema anakuja na yuko jirani kabisa. Nikamwambia ukija nakutambulisha kama mtarajiwa wangu. Akagoma, akidai ni mapema sana. nikamwambia kama hataki bora asije. Mzee wangu hawezi nielewa eti uje tu kama rafiki tena unapajua kwangu nije hapa niseme wewe ni "normal friend" na sijawahi mvunjia heshima. Japo hata hivyo si sahihi, lakini hautakuwa uongo. Kule hospitali angeelewa wewe ni rafiki sababu walikuja wengi. Akazira na kurudi, hakufika.

Nilipanga kumwacha kabisa. Akawa ananisalim namjibu vizuri tu. Tunapiga story za chat kama kawaida ila mara zote mwanzilishi ni yeye. Akiwa kimya inaweza fika saa 7 mchana hatujajuliana hali. Akaona hali imezidi ikabidi afunguke....kwani amekosea nini? Siku zote namjibu hakuna alichokosea na akikaa kimya tunapitisha hata siku 3. Tangu huu mwaka umeanza hatujaonana. Anahisi amekosea lakini hajui na hajui kwanini namuacha. Kama angekuwa na fikra angeomba radhi japo hajui kosa lake.





Sent using my Nokia Torch
Huyo malaya ulivyotomba tu ulitakiwa kuchapa lapa mapema,hakuna mke hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani na yeye mtoa mada hana mapungufu,Ni kweli huyo bibie kakosea ila tatizo tumeumbwa na udhaifu hawezi kumpata mwanamke mwenye tabia anazo taka yeye kwenye mahusiano huwa tunavumiliana na kurekebishana.
Ndugu kuna tabia za kuvumilia na tabia za kupoteza muda, hakuna mke atakuita shoga useme unamvumilia . Ukiwa mpuuzi kiasi hicho ndio nyie mnao kujaga kutuambia ndoa ndoano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namm naunga hoja yako mkuu ktk dhana ya "Mwanaume ndo kichwa cha familia"
Yah hili ndilo alilotakiwa kulifanya huyu kijana wetu, sio hizi brah brah za kitukufu.

Wala simtetei huyo mwanamke, ila najaribu kuonyesha maana ya dhana ya "mwanaume ndio kichwa cha familia".

Sent using Jamii Forums mobile app
Namm naunga hoja yako mkuu ktk dhana ya "Mwanaume ndo kichwa cha familia"
 
Namm naunga hoja yako mkuu ktk dhana ya "Mwanaume ndo kichwa cha familia"Namm naunga hoja yako mkuu ktk dhana ya "Mwanaume ndo kichwa cha familia"
Basi kama mume ndio kichwa. Kichwa kimeamua kulala. Kichwa kilala hata miguu haitembei. Aende zake tu.

Sent using my Nokia Torch
 
Wanawake kushughulika nao unahitaji akili ya ziada.

Wanawake kushughulika nao unahitaji akili ya ziada na uzoefu na uzoefu unaupata kwa kua na wanawake wengi, nyie mnaokua na mwanamke mmoja kwa muda wote hadi mgombane muachane ndio upate mwingine mtaishia kulia kila siku.

Imagine, wanawake walivyo umiza kichwa alafu unao 8 at once, ni uzoefu wa namna gani unapata? Hii ni njia mojawapo kubwa ambayo nilijifunza kuwahusu wanawake.

Ushauri wa bure, usimpende mwanamke, hata kama unataka kumuoa, akishakidhi vigezo vyako vya kawaida huna haja ya kumpenda, oa tu.
Unapotosha mkuu kumbuka mmeamliwa mtupende wanawake na sisi tuwatii ninyi....

am better here
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom