Hajui kwanini nilimuacha...

Tattoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
2,527
Points
2,000

Tattoo

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
2,527 2,000
Inamaana hujui kuna mtu anakosea pasipo kujua kama anakosea.


Sasa huyu unategemea Akukose kama ivo alafu usimwambie??!. Yaaan yee ni malaika .


Sijaona jitihada yoyote ktk uzi uloifanya ili atambue kosa lake au juhudi za kumbadilisha.

Aaahh naishia hapa ...Mwambia alipokosea.. Ili mradi tu ni Wife material. Mengine waweza mbadilisha , asipobadilika ndo sasa unamtema.


Alafu, umeshamwacha? Maana kuna mahali umesema "Namwacha".
Nishamwacha.

Sent using my Nokia Torch
 

Hawachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
7,835
Points
2,000

Hawachi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
7,835 2,000
Inamaana hujui kuna mtu anakosea pasipo kujua kama anakosea.


Sasa huyu unategemea Akukose kama ivo alafu usimwambie??!. Yaaan yee ni malaika .


Sijaona jitihada yoyote ktk uzi uloifanya ili atambue kosa lake au juhudi za kumbadilisha.

Aaahh naishia hapa ...Mwambia alipokosea.. Ili mradi tu ni Wife material. Mengine waweza mbadilisha , asipobadilika ndo sasa unamtema.


Alafu, umeshamwacha? Maana kuna mahali umesema "Namwacha".
Mkuu inashangaza sana angetulia nae amwambie ukweli pengine akawa bora zaidi.
 

Tattoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
2,527
Points
2,000

Tattoo

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
2,527 2,000
Mapenzi ya kitoto, Kama mwanaume mweke chini mueleweshe, Kama humtaki mwambie kila mtu ale hamsini zako !!!

Hivi unaweza vp kudate na type hizo sijui za kiswaz swaz, kichwani mgando anawaza madela tu na kwenda kutunza ,kingine hajui !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilimuona mtulivu tu. Kuwa anatoka uswahilini na familia duni haikuwa issue sana kwangu. Lau angekuwa na maono na na wife material. Kuna bint alinipiga chini na anatoka familia duni lakini nilikua namuelewa.

Sent using my Nokia Torch
 

Tattoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
2,527
Points
2,000

Tattoo

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
2,527 2,000
Aisee unahitaji aendelee na tabia yake, binadamu hatuna ukamilifu mwambie ili akianza mahusiano mapya ajue ana tabia gani.
Sio kazi yangu kumtengenezea mke mwanaume mwenzangu. Atakayekuja kuowa bint yangu tu ndio ana haki hiyo.

Sent using my Nokia Torch
 

Tattoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
2,527
Points
2,000

Tattoo

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
2,527 2,000
Mkuu inashangaza sana angetulia nae amwambie ukweli pengine akawa bora zaidi.
Mtu wa miaka 27 hajui kama hili ni kosa? Huwa tunawajenga mabint wadogo wa below 25 unafanya kama unakalea kukaelekeza what is right and wrong. Yeye unamuambia na bado yuko baridi.

Sent using my Nokia Torch
 

Hawachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
7,835
Points
2,000

Hawachi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
7,835 2,000
Sio kazi yangu kumtengenezea mke mwanaume mwenzangu. Atakayekuja kuowa bint yangu tu ndio ana haki hiyo.

Sent using my Nokia Torch
Hapo umtengenezi mkuu wewe una mwambia nimekuacha kwa sababu zifuatazo huoni umempa mtihani wa mawazo kwanza kwa kumuacha, pili bila kujua sababu.
 

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
3,116
Points
2,000

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
3,116 2,000
Wanawake kushughulika nao unahitaji akili ya ziada.

Wanawake kushughulika nao unahitaji akili ya ziada na uzoefu na uzoefu unaupata kwa kua na wanawake wengi, nyie mnaokua na mwanamke mmoja kwa muda wote hadi mgombane muachane ndio upate mwingine mtaishia kulia kila siku.

Imagine, wanawake walivyo umiza kichwa alafu unao 8 at once, ni uzoefu wa namna gani unapata? Hii ni njia mojawapo kubwa ambayo nilijifunza kuwahusu wanawake.

Ushauri wa bure, usimpende mwanamke, hata kama unataka kumuoa, akishakidhi vigezo vyako vya kawaida huna haja ya kumpenda, oa tu.
 

Hawachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
7,835
Points
2,000

Hawachi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
7,835 2,000
Sawa. Wazo lako nimelichukua. Ikimpendeza Mungu nitamwambia.

Sent using my Nokia Torch
Huyo binti Umeandika anatoka Uswahili kuna familia za ajabu huku kwetu Uswazi kuna familia lugha chafu ni kawaida pengine huyo binti kakulia katika mazingira hayo.
 

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Messages
1,342
Points
2,000

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2016
1,342 2,000
Honestly huyo hafai kabisa

Mwamba eeeh narudia tena hafai hata kidogo

Yaani nasema hivi huyo ni wa kukimbia kabisa

Mwanangu ee sikiliza usirudi tena nyuma sepa mazima

aiseeeeee aaaaaaaaa mzazi eeeee nakwambia tena kimbia
Ahaaahaa

From profile picture to proper future
 

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
11,666
Points
2,000

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
11,666 2,000
Huyo binti Umeandika anatoka Uswahili kuna familia za ajabu huku kwetu Uswazi kuna familia lugha chafu ni kawaida pengine huyo binti kakulia katika mazingira hayo.
Sio pengine hayo ndo Malezi ya kwaoo.. Wewe mwanamke wa kumpa hela akashone sare huyo ni mwanamke au malaya mcheza vigodoroo???? Si ndo hao wanavua nguo barabarani kila sikuu... Eti mwanamke anakuita Shoga..??? Aisee huo upuuzi siwezi vumiliiaaa... Mwanamke mwenye matusi na Muombaa hela bila mpangilioo bora nipige nyetooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
1,116
Points
2,000

social_science

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
1,116 2,000
Huyo demu itaku mhaya lakini pia inaonyesha wakati umekutana nae alikua tayari ktk mahusiano na mtu na wanaendelea nae mpaka sasa anajitahidi kukupend bila mafanikio,tafadhari achana nae usiendelee kupoteza pesa.Ingekua anashida na ndoa ungekua ukitafutwa kila baada ya dk 2 kuulizwa umekula,unafanya nini,umeoga n.k
 

capitalpool

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Messages
17,791
Points
2,000

capitalpool

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2017
17,791 2,000
Bora unayajua madhaifu yake huyu, hao utakao kutana nao there after hawatakuonyesha madhaifu yao!

Zungumza nae afu mbona anavumilika?? Inawezekana hakuwa tayari kum-face Mzazi wako wakati huo na ipo ivyo kwa wanawake wengi.

Ingelikuwa ni mimi nisingeweza kumuacha kwa sababu kama hizo zako, anahitaji muda labda kama hukumpenda una alternative yake.
 

say m jackson

Member
Joined
Mar 8, 2018
Messages
12
Points
45

say m jackson

Member
Joined Mar 8, 2018
12 45
Moja ya vitu vibaya kumfanyia mwenzako ni kumuacha bila kumwambia sababu. Ni wazi kuwa amekosea lakini pia inabidi umwambie. Kama asipojikerebisha kwako basi mpe nafasi akajirekebishe mahusiano yake yatakayokuja. Au toka umekua nae ni mateso tu mpaka sasa

After all we're only human

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee, watu wa namna hyo hawaelewekag, huyo anaweza mpa sabab bado akamtupia lawama mshikaj nakuona kama kaonewa kiufupi huyo hajielewi hata chembe, m naona jamaa yuko sahihi kumbwaga kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
6,854
Points
2,000

Crimea

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
6,854 2,000
Mm nina mtazamo tofauti!

Nahisi huyo ana mtu wake pengine anaejulikana hadi kwao,

Kwasababu mwanamke wa miaka 28 hawezi kuwa na tabia za form 1 kiasi hiki. Kwanza wemye umri huo ukimtongoza anakuganda tena hata hiyo papuchi usingeihangaikia hivyo. Kingine angeanza na kuomba ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,344,932
Members 516,083
Posts 32,840,364
Top