Naomba kufundishwa namna ya kuhesabu siku ktk mzunguko wa mwanamke.. nijue siku salama na siku hatari
ili kuweza panga uzazi wa mpango na kuepuka mimba za surprise.
#msinambie ni-google mana nmefanya hivo naona chenga tuu hamna nilichoelewa na vi-apps ndio zengwe kabisa