Haji Ramadhan, maamuzi yako yanahitaji pongezi za dhati!!!

kutembea nje ya ndoa au kuzini kwa lugha fasaha sio issue, ila issue mpaka kubeba na mimba!...it needs courage to move on
 
hongera sana kaka Haji kwa maamuzi magumu uliyoyafanya, wanaume wenzako watajifunza sio wao kila uchao wanazaa nje afu wanaleta watoto, na sie tutaanza kutoa talaka nadhani wanaume wengi watapewa talaka.
 
Back
Top Bottom