Haji ndio mfuga majini pale Utopolo

Haji ndio mfuga majini pale Utopolo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,696
Hana kazi yoyote pale ndani ya timu, tangu mayele apost yeye ndio amekuwa na kazi ya kumjibu na kumsihi mayele afute andiko lake.

Haji ni nani? Haji wako wengi, hata mm naitwa Haji Habibu Kondo.

Haji mbeba majini huyu, anahaha baada ya habari zake kuvuja.

Haji mbeba majini.Haji mbeba majini.Majini yako yameshtukiwa
 
Kaaz kweli kweli
 

Attachments

  • 20240207_114650.jpg
    20240207_114650.jpg
    114.3 KB · Views: 13
Ulitaka uwaone wananena kwa lugha ?
Wakinena kwa lugha it means wana majini wanahitaji kusaidiwa
Ona hao wenzako na tasbih zao wananena kwa lugha
 

Attachments

  • Nkololotz_20240112__1745715529971601709_1_17457152642749972480.mp4
    3 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom