Haji Manara vs Dkt. Kumbuka

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
Nawaza tu ni jinsi gani patachimbika kwa maneno/misemo ya Kiswahili ukiwakutanisha Haji Manara, msemaji wa Simba Sports Club na Dr Kumbuka, mtangazaji wa redio. Maana wote wana maneno makali ya ndani ya Kiswahili
 
Back
Top Bottom