Haji Manara: Simba haikufanya mazungumzo na Okwi wala mchezaji yeyote mwingine

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Msemaji wa klabu ya soka ya Simba,Haji Manara,amesema kuwa Simba haikuwahi kuwa na mazungumzo na Emmanuel Okwi wala mchezaji mwingine yeyote.

Akihojiwa leo asubuhi na kituo cha redio cha Magic FM,Manara amesema kuwa hadi sasa hakuna mchezaji wa kupunguzwa au kuongezwa klabuni Simba.
 
Hapa inaonyesha ni jinsi gani viongozi wa simba walivyo gawanyika, wengine wanasajili wengine wanapinga..... unite we stand, divided we fall... sasa simba sijui wapo upande gani apo
 
Anatuchanganya tu huyu, timu bado haiko vizuri,asiwe msiri aseme usajili wa dirisha dogo ni dume au garasa
Una haraka gani? Subiri muda ukifika kila kitu kitawekwa wazi. Usajili unafanywa kwa siri si unajua kuna wale wenzetu Simba ikitaja mchezaji wao hukimbia na kutumia mapesa yao ya kifisadi kutuvurugia? Kumbuka swala la mahadhi, kaseke, busungu,twite nk
 
wachezaji hao hao kila kukicha utadhani wabunge wa chama kimoja..wakati vipaji vingi tuu amuzioni hizo Timu zinazoshinda Klabu Bingwa Afrika ni Damu changa tuu na si mazee..
 
Isanga funasepost: 18534535 said:
wachezaji hao hao kila kukicha utadhani wabunge wa chama kimoja..wakati vipaji vingi tuu amuzioni hizo Timu zinazoshinda Klabu Bingwa Afrika ni Damu changa tuu na si mazee..
Acha unafiki ww ni wachezaji wangapi wana umri mkubwa??
 
Una haraka gani? Subiri muda ukifika kila kitu kitawekwa wazi. Usajili unafanywa kwa siri si unajua kuna wale wenzetu Simba ikitaja mchezaji wao hukimbia na kutumia mapesa yao ya kifisadi kutuvurugia? Kumbuka swala la mahadhi, kaseke, busungu,twite nk
Mambo KIZANI Kama Bunge la JMT ha ha haaaa
 
wamatopeni acheni kukariri kila siku okwi huyo huyo tu?mbona timu ya taifa ya uganda wamemtema na timu inafanya vizur.mchukuen yule fowad wa zimbabwe anaeuzwa milion 800.na mshahara wake ml42 kwa mwezi atawapen ubingwa.
 
Hapa inaonyesha ni jinsi gani viongozi wa simba walivyo gawanyika, wengine wanasajili wengine wanapinga..... unite we stand, divided we fall... sasa simba sijui wapo upande gani apo
Ya simba yanakuhusu nini, mbona mnatokwa na povu aisee
 
wamatopeni acheni kukariri kila siku okwi huyo huyo tu?mbona timu ya taifa ya uganda wamemtema na timu inafanya vizur.mchukuen yule fowad wa zimbabwe anaeuzwa milion 800.na mshahara wake ml42 kwa mwezi atawapen ubingwa.
Kamchukueni nyie....yaan yanga vyura kweli,hapo mnasubiri tusajiri vifaa halafu ninyi muanze kuzengea wachezaji wetu
 
Back
Top Bottom