Haji Manara rudi kwa Watu wote uliowakosea tena hasa hasa narudia tena hasa hasa Mo Dewji kwani LAANA yake inakumaliza na unaelekea kubaya sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Nimeandika sana Threads zako hapa JamiiForums na Kukushauri mengi ila una Kiburi, Ushamba na Upumbavu mwingi. Haji Manara hivi kuna Mtu ambaye hajui na nakumbuka hata Baba yako alishakuambia kuwa Wakosee wote ila siyo Mo Dewji kwa Mema ambayo Tajiri wa Watu alikufanyia (hasa Kukufungulia Dunia), ila ghafla ukarubuniwa na Matajiri wako wa GSM ambao nao pia leo umewageuka kwa tabia zako za Kitoto huku sasa ukiutafuta Umri wako wa miaka 70.

In short Haji Manara huna tu LAANA za Mo Dewji bali hata na za Wanawake uliowaharibu kwa zile tabia zako Chafu. Haji Manara hivi Wewe kweli ulikuwa ni Mtu wa Kumtukana Mo Dewji kipindi kile unahamia Yanga SC (ambao hata Wao kwa 99%) yao hawakutaki huku akiwa anakupa Huduma zote kama mwana Simba hadi akakujibu kwa Neno moja tu la ASANTE MUNGU ATANILIPIA yote?
 
Huyo GSM huwa anamfanya kama mdogo wake, anampa story nyeti, jamaa anamwaga mchele...Eti Uwoya kahongwa Dola elf 20.
 
Nimeandika sana Threads zako hapa JamiiForums na Kukushauri mengi ila una Kiburi, Ushamba na Upumbavu mwingi. Haji Manara hivi kuna Mtu ambaye hajui na nakumbuka hata Baba yako alishakuambia kuwa Wakosee wote ila siyo Mo Dewji kwa Mema ambayo Tajiri wa Watu alikufanyia (hasa Kukufungulia Dunia), ila ghafla ukarubuniwa na Matajiri wako wa GSM ambao nao pia leo umewageuka kwa tabia zako za Kitoto huku sasa ukiutafuta Umri wako wa miaka 70.

In short Haji Manara huna tu LAANA za Mo Dewji bali hata na za Wanawake uliowaharibu kwa zile tabia zako Chafu. Haji Manara hivi Wewe kweli ulikuwa ni Mtu wa Kumtukana Mo Dewji kipindi kile unahamia Yanga SC (ambao hata Wao kwa 99%) yao hawakutaki huku akiwa anakupa Huduma zote kama mwana Simba hadi akakujibu kwa Neno moja tu la ASANTE MUNGU ATANILIPIA yote?
ataishia mwenyewe kama lemutuz tu
 
Jamaa Hana mipaka, watz wengi wako kama Haji manara, shida ni mipaka. Huwezi kuropoka tu Kila kitu, vingine ni vya kumezea tu Haina haja ya kutaka sifa kwamba wewe unamjua sana tajiri yako kuliko mtu yyote.
 
Back
Top Bottom