FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jan 16, 2024 #21 Moisemusajiografii said: Aupashe ulimwengu ujinga wake. Click to expand... Kwa hiyo wewe unamuelewa zaidi ya anavyojielewa mwenyewe? Watafute tu hao CNN wakamuhoji. Unangoja nini?
Moisemusajiografii said: Aupashe ulimwengu ujinga wake. Click to expand... Kwa hiyo wewe unamuelewa zaidi ya anavyojielewa mwenyewe? Watafute tu hao CNN wakamuhoji. Unangoja nini?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,342 Jan 16, 2024 #22 FaizaFoxy said: Kwa hiyo wewe unamuelewa zaidi ya anavyojielewa mwenyewe? Watafute tu hao CNN wakamuhoji. Unangoja nini? Click to expand... Unamtetea mjinga?Mtu mzima kujipelekapeleka kwenye media kuongea juu ya mambo ya chumbani wewe unaona ni sawa kimaadili?Miss JF huna maadili.
FaizaFoxy said: Kwa hiyo wewe unamuelewa zaidi ya anavyojielewa mwenyewe? Watafute tu hao CNN wakamuhoji. Unangoja nini? Click to expand... Unamtetea mjinga?Mtu mzima kujipelekapeleka kwenye media kuongea juu ya mambo ya chumbani wewe unaona ni sawa kimaadili?Miss JF huna maadili.
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,762 Reaction score 2,737 Jan 16, 2024 #23 FaizaFoxy said: Ma shaa Allah hiyo moja katika aamali kubwa za Kiislam. Mwenyezi Mungu amzidishie na atuzidishie imani. Click to expand... Na we kweli unaamini kabisa hiyo habari.
FaizaFoxy said: Ma shaa Allah hiyo moja katika aamali kubwa za Kiislam. Mwenyezi Mungu amzidishie na atuzidishie imani. Click to expand... Na we kweli unaamini kabisa hiyo habari.
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,880 Jan 17, 2024 #24 Watu8 said: Kajaa ujinga tu... Click to expand... Yeye anaona kawaida tu as long as anaingiza hela nyingi kupitia ujinga ujinga wake, kuna mengine anayafanya kwa umri wake aibu naona mimi.
Watu8 said: Kajaa ujinga tu... Click to expand... Yeye anaona kawaida tu as long as anaingiza hela nyingi kupitia ujinga ujinga wake, kuna mengine anayafanya kwa umri wake aibu naona mimi.
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jan 21, 2024 #25 Mjanja M1 said: Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA View attachment 2873453 Click to expand... Nasikia alishawahi kuwekwa kiunyumba na Mzee mmoja maghorofa ya breweries
Mjanja M1 said: Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA View attachment 2873453 Click to expand... Nasikia alishawahi kuwekwa kiunyumba na Mzee mmoja maghorofa ya breweries
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,896 Reaction score 19,756 Jan 21, 2024 #26 mrangi said: Mara sjui tunaanda birthday na mke wangu mara sherehe party ntakuwa na mke wangu watu mje mtuoneeee Yaani anamfanya mwanamke kama kinyagoooo toyyyy Hawa sasa wabanduane watu wote waoneeee tu Ova Click to expand... Huyu mzungu naskia akiachwa huwa anazimia
mrangi said: Mara sjui tunaanda birthday na mke wangu mara sherehe party ntakuwa na mke wangu watu mje mtuoneeee Yaani anamfanya mwanamke kama kinyagoooo toyyyy Hawa sasa wabanduane watu wote waoneeee tu Ova Click to expand... Huyu mzungu naskia akiachwa huwa anazimia
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,757 Apr 15, 2025 #27 Mke wa mtu huyo