Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,890 Jan 16, 2024 #1 Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA Your browser is not able to display this video.
Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA Your browser is not able to display this video.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,064 Reaction score 132,514 Jan 16, 2024 #2 Kwa hiyo haji kazi yake ni kuzunguka na hyo mwanamke wake kila mahali Kunadi ndoa yao,na kuwataka watu wawe wanafatilia mahusiano yao Syo... Ova
Kwa hiyo haji kazi yake ni kuzunguka na hyo mwanamke wake kila mahali Kunadi ndoa yao,na kuwataka watu wawe wanafatilia mahusiano yao Syo... Ova
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Jan 16, 2024 #3 Akili zingine hizi ni shida.Afanye mpango wahojiwe na CNN.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 49,793 Reaction score 130,743 Jan 16, 2024 #4 Mjanja M1 said: Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA View attachment 2873453 Click to expand... Yeye na ndoa disposable tu. Anaoa na kuacha kila wakati
Mjanja M1 said: Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA View attachment 2873453 Click to expand... Yeye na ndoa disposable tu. Anaoa na kuacha kila wakati
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,432 Jan 16, 2024 #5 Kizazi cha kuaminishwa na kulishwa upuuzi hii pia wataichukua!
M2WAWA2 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 3,284 Reaction score 5,625 Jan 16, 2024 #6 YA MITANDAONI, SILIZA, ANGALIA, NA YAACHE HUKU HUKU. USIAMINI KILA KITU IKO SIKU JAMAA ATASEMA HANA DIKI
YA MITANDAONI, SILIZA, ANGALIA, NA YAACHE HUKU HUKU. USIAMINI KILA KITU IKO SIKU JAMAA ATASEMA HANA DIKI
F From Meru JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 4,041 Reaction score 9,628 Jan 16, 2024 #7 Ana tiwa savage
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,896 Reaction score 5,259 Jan 16, 2024 #8 Naona Azam wamemchoka kahamia DStv sasa Mtu anaoa kila msimu kama usajili wa timu za soka
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,494 Jan 16, 2024 #9 Tatizo mnafuatilia sana maisha ya watu, na ndio maana wanawafanya mitaji...
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 17,677 Reaction score 21,895 Jan 16, 2024 #10 Wanawake wanakazi
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,880 Jan 16, 2024 #11 Watu8 said: Tatizo mnafuatilia sana maisha ya watu, na ndio maana wanawafanya mitaji... Click to expand... Huyo ni mzee ni content creator
Watu8 said: Tatizo mnafuatilia sana maisha ya watu, na ndio maana wanawafanya mitaji... Click to expand... Huyo ni mzee ni content creator
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,064 Reaction score 132,514 Jan 16, 2024 #12 Moisemusajiografii said: Akili zingine hizi ni shida.Afanye mpango wahojiwe na CNN. Click to expand... Wakati umefika sasa watu mashabiki wake waone pia wanavyonyanduana Wakiwa ktandani Ova
Moisemusajiografii said: Akili zingine hizi ni shida.Afanye mpango wahojiwe na CNN. Click to expand... Wakati umefika sasa watu mashabiki wake waone pia wanavyonyanduana Wakiwa ktandani Ova
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Jan 16, 2024 #13 mrangi said: Wakati umefika sasa watu mashabiki wake waone pia wanavyonyanduana Wakiwa ktandani Ova Click to expand... Kabisa.Maana huu utandawazi hadi baadhi ya watu kupungukiwa hekima.Kila kitu wanaweka kwenye vyombo vya habari kama ndevu za kichaa.
mrangi said: Wakati umefika sasa watu mashabiki wake waone pia wanavyonyanduana Wakiwa ktandani Ova Click to expand... Kabisa.Maana huu utandawazi hadi baadhi ya watu kupungukiwa hekima.Kila kitu wanaweka kwenye vyombo vya habari kama ndevu za kichaa.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,064 Reaction score 132,514 Jan 16, 2024 #14 Moisemusajiografii said: Kabisa.Maana huu utandawazi hadi baadhi ya watu kupungukiwa hekima.Kila kitu wanaweka kwenye vyombo vya habari kama ndevu za kichaa. Click to expand... Mara sjui tunaanda birthday na mke wangu mara sherehe party ntakuwa na mke wangu watu mje mtuoneeee Yaani anamfanya mwanamke kama kinyagoooo toyyyy Hawa sasa wabanduane watu wote waoneeee tu Ova
Moisemusajiografii said: Kabisa.Maana huu utandawazi hadi baadhi ya watu kupungukiwa hekima.Kila kitu wanaweka kwenye vyombo vya habari kama ndevu za kichaa. Click to expand... Mara sjui tunaanda birthday na mke wangu mara sherehe party ntakuwa na mke wangu watu mje mtuoneeee Yaani anamfanya mwanamke kama kinyagoooo toyyyy Hawa sasa wabanduane watu wote waoneeee tu Ova
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,494 Jan 16, 2024 #15 kibol said: Huyo ni mzee ni content creator Click to expand... Kajaa ujinga tu...
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jan 16, 2024 #16 Mjanja M1 said: Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA View attachment 2873453 Click to expand... Kutokuzini ni moja ya siri kubwa za kuupiga vita umasikini.
Mjanja M1 said: Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA View attachment 2873453 Click to expand... Kutokuzini ni moja ya siri kubwa za kuupiga vita umasikini.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jan 16, 2024 #17 Mjanja M1 said: Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA Click to expand... Ma shaa Allah hiyo moja katika aamali kubwa za Kiislam. Mwenyezi Mungu amzidishie na atuzidishie imani.
Mjanja M1 said: Akiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa. ANGALIA VIDEO HAPA Click to expand... Ma shaa Allah hiyo moja katika aamali kubwa za Kiislam. Mwenyezi Mungu amzidishie na atuzidishie imani.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jan 16, 2024 #18 Moisemusajiografii said: Akili zingine hizi ni shida.Afanye mpango wahojiwe na CNN. Click to expand... Ili iweje?
Moisemusajiografii said: Akili zingine hizi ni shida.Afanye mpango wahojiwe na CNN. Click to expand... Ili iweje?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Jan 16, 2024 #19 FaizaFoxy said: Ili iweje? Click to expand... Aupashe ulimwengu ujinga wake.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jan 16, 2024 #20 antimatter said: Yeye na ndoa disposable tu. Anaoa na kuacha kila wakati Click to expand... AlhamduliLlah, ni heri ya hayo kuliko kuzini. Huo ndiyo ubora wa Uislam, yanini tabu na raha zipo?
antimatter said: Yeye na ndoa disposable tu. Anaoa na kuacha kila wakati Click to expand... AlhamduliLlah, ni heri ya hayo kuliko kuzini. Huo ndiyo ubora wa Uislam, yanini tabu na raha zipo?