Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Mkuu kiukweli tu bila hata kumung'unya maneno huyu binti umekuwa ukimchokozachokoza sana...kama coincidence bahati nzuri kwenye uzi ambao mlikuwa mnalumbana nimeusahau ulikuwa ni uzi gani but nilikwepo...so mkuu kwa ushauri tu kama wewe ni mtoto wa kiume kweli achana tu na huyu mwanamke,ishi humu jukwaani kwa ku ignore kama kuna mtu kama yeye na usimuhusishe kabisa kwenye michango yako mbalimbali kwenye nyuzi humu jukwaani...ukifanya hivyo utaepusha malumbano yoyote baina yako na yeye yasiyo na msingi wowote
😂😂😂 Kiongozi nilishamuomba msamaha lakini huyu khantwee hasikii na uchokozi mimi naupenda.
.
Ushauri noted
 
Wa kustop ni mimi au wewe? Ulishawahi kuona mimi nakufuatafuata? Au unanidai?
Wagombanao ndio wapatanao 😂😂 nisamehe basi kilembwe changu ila ushauri wangu uuchukue na ni lazima sio ombi 😝😝
 
hahaha watu mnachekesha aise...
Ndio kwanzaaaa anapokea madili na Mungu anamjaalia, mtabaki na uchawi wenu
 
Watu hawalali , watu nyongo zinawatoka, watu wanapata shinikizo la damu, watu wanawanunia waume Zao kwa wake zao kisa nyota ya haji inang'aa
 
Balehe inamsumbua huyu
Mkuu kiukweli tu bila hata kumung'unya maneno huyu binti umekuwa ukimchokozachokoza sana...kama coincidence bahati nzuri kwenye uzi ambao mlikuwa mnalumbana nimeusahau ulikuwa ni uzi gani but nilikwepo...so mkuu kwa ushauri tu kama wewe ni mtoto wa kiume kweli achana tu na huyu mwanamke,ishi humu jukwaani kwa ku ignore kama kuna mtu kama yeye na usimuhusishe kabisa kwenye michango yako mbalimbali kwenye nyuzi humu jukwaani...ukifanya hivyo utaepusha malumbano yoyote baina yako na yeye yasiyo na msingi wowote
 
It seems hawamtaki maana hana weledi wa kufanya kazi katika mazingira ya sasa tofauti na taaluma yake ya mipasho.

Kumtema kabisa ni ngumu. He knows a thing or two about the dirty things within the club.

Wanaye huyo! Lakini itawagharimu mwishowe.
 
Itawagharimu kivipi...mbona siku zote haijawagharimu ije iwagharimu sahivi...msiyempenda bado yupoyupo sana
 
Mfukuzeni atoe siri zenu. Dammed having him, damnmed firing him. The choice is yours.
 
Tumfukuze kwa lipi mkuu...haondoki yule...majukumu yake bado yapo palepale...gongowazi mkisikia neno hajismanara mnaweweseka sana 😂 😂 😂 😂 ...alafu siri zetu mbona zahera alishazotoa mkuu kuwa sisi tunanunua mechi na kuwapulizia dawa timu pinzani...mwisho tukawanunua na nyinyi yanga,tukawapulizia dawa pale kwa mchina tukawapiga kimoja cha mkwezi...or umesahau mkuu???kuna siri nyingine zaidi ya iyo mkuu???
 
Msije kumtoa kafara.
 
Back
Top Bottom