it's called showbiz. ni biashara tu kama biashara zingine ktk ulimwengu wa entertainment and celebrity lifestyle.Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Kusema ukweli huyu haji ni mpumbavu sana, watu wangapi wana hela duniani je wanafanya upumbavu kama wa huyu mtu wa dini?Mamlaka ya kudhibiti mambo mbali mbali iko kimya inamuogopa kisa Ni albino
Bora uwaambie mnk majitu mijinga Sana mkuu mtu kilamwaka anafanya kufuru alfu tukae kimyaacha ujinga wewe, kama manara anafanya kufuru asiambiwe? Siku akiugua tusisikie anaombaomba mchango akatibiwe
WaelezeeNasema tena, isije ikawa ni kituko akiugua na kuanza kuombaomba mchango akatibiwe wakati alikuwa na hela nyingi amezitapanya kwa kufanya kufuru za anasa na starehe.
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ajajenga anakah kwa gsmAngetulia ccm angekua mbali, hivi pamoja na mbwembwe zote amekumbuka kujenga kweli manake apartment analipiwa na GSM gari alinunuliwa na GSM na anapenda kuwa karibu sana na waarabu, si watu wazuri hawana vya ewala ewala.
Asante kwa masahihisho"Tanga muweza" jina sahihi ni Tanga Muheza.
Tukio amelilipia najuwa Jana mlikesha kufatilia upuuz wakeNi vizuri vijana mkawa na uelewa wa mambo .
Haji Manara kama alivyosema Ana maisha Yake halisi na ya mitandao , Haji anaweza kuwa na hela Ila sio Kama unavyofikiri haji ni MTU wa kawaida Sana kwenye PESA hata anapokaa kwao Temeke wailes hali haipo Kama mnavyoona Katika TV.
Hivyo usimkasirikie muache aokote aokote ili maisha yaende mbele.
Hao Dstv wamemlipa Haji , kwahiyo cool temperature
Yaani unashindwa kukaa na mume wako Kuna 6*6 wee unashinda kumtizama tapeli haji [emoji23][emoji23]Ila Kwa kuangalia tu birthday ya Jana, tuliosoma Cuba tumeshaelewa Haji kapigwa Ile Dualis, maana bibie hakuwa na furaha hata robo kama kalazimishwa Nifah reporta tafadhali tulitee wambea wenzio report kamili kutoka katika chanzo Cha kuaminika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angetulia ccm angekua mbali, hivi pamoja na mbwembwe zote amekumbuka kujenga kweli manake apartment analipiwa na GSM gari alinunuliwa na GSM na anapenda kuwa karibu sana na waarabu, si watu wazuri hawana vya ewala ewala.
Braza una akili Sana ubarikiwe nataka watu wenye maono Kama wew humu siyo mijitu inasema tafuta pesaKusema ukweli huyu haji ni mpumbavu sana, watu wangapi wana hela duniani je wanafanya upumbavu kama wa huyu mtu wa dini?
Busara ni ucha Mungu atumie hela zake kwa busara kuna watoto yatima, wagonjwa na watu wenye mateso mbalimbali akatoe sadaka badala ya kuhangaika na BD na kuoa.
Kachagua upumbavu na hela ni zake ila mwisho ni majuto maana hao wanawake wakishapata hela wanamwacha.
Liko tatizo wee ulioni s umefungwa akiliPesa yake, dudu yake, wanawake wake, akiishiwa hata kulilia shida, tatizo lipo wapi?
Haji anaishi temeke au Masaki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni vizuri vijana mkawa na uelewa wa mambo .
Haji Manara kama alivyosema Ana maisha Yake halisi na ya mitandao , Haji anaweza kuwa na hela Ila sio Kama unavyofikiri haji ni MTU wa kawaida Sana kwenye PESA hata anapokaa kwao Temeke wailes hali haipo Kama mnavyoona Katika TV.
Hivyo usimkasirikie muache aokote aokote ili maisha yaende mbele.
Hao Dstv wamemlipa Haji , kwahiyo cool temperature
Kwani imekuajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Kwa kuangalia tu birthday ya Jana, tuliosoma Cuba tumeshaelewa Haji kapigwa Ile Dualis, maana bibie hakuwa na furaha hata robo kama kalazimishwa Nifah reporta tafadhali tulitee wambea wenzio report kamili kutoka katika chanzo Cha kuaminika
Halituhusu bwana, bora tuwafuatilie kina samia na mawaziri wake ,maana hao wanaishi kwa kodi zetu.Liko tatizo wee ulioni s umefungwa akili
HV ulikwendaga wapi wewe dada na umebadili avatarTafuta hela,in the process hautakuwa na muda wa kufuatilia Haji na ndoa zake.
Namtumbo masaki Ni kwa gsm amepewwa apartment bure aishiHaji anaishi temeke au Masaki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]