Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Kwa akili ya kawaida tu wala you don need to go to school kwamba Zungu katumwa kufanya uchochezi kwa niaba ya wana utopolo.
Wamemtuma kuropoka na sio vinginevyo, wako nyuma yake, wao wanamlipa mshahara, wanamhudumia mkewe kwann asiropoke.
Kama ameweza kuwakana Simba kwa sababu yao hawezi kuacha kumropokea Rais Karia.
Kwa vile alishawahi kuhukumiwa na amerudia kosa kiufupi ni sugu, asubiri cha moto atakiona
Lazima tuwe na adabu kwa watu tuliowapa mamlaka na dhamana, ala we Vip bana