TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,723
- 10,232
Sizani kama okocha ndio best player of all time in Africa pamoja na kwamba alikua na Ball skills kubwaAugustine Azuka 'Jay Jay' Okocha, Mchawi na Hizi yake kutoka Enugu
Usiku mmoja kule Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria, Jimboni Enugu ile Agosti 14, 1973 alizaliwa Mchawi mmoja wa soka wakuitwa Augustine, ndio ni Augustine tu
Mitaa ya Enugu haikutaka kumwacha salama na jina lake la Augustine, wakaona kuna haja ya kumpachika jina la Jay Jay, ndipo wazungu na dunia tukaona isiwe kazi acha tumuite Jay Jay Okocha.
Mama yake Mzazi anakumbuka akimtuma dukani lazima atachelewa kurudi, atabetua chochote atakachokuta njiani, atasahau alichotumwa kama ataona watoto wanalipiga kandanda, alikua na uwezo wa kupiga danadana mpaka kitunguu au nyanya.
Mechi za mtaani kwao ziligubikwa na majonzi kwa wapinzani, chenga zake zilitegua nyonga, watoto walivishwa na kuvuliwa makanzu, alifanya kila aina ya utukutu wa soka "football crimes".
Ushuhuda na maajabu waliokuwa wakishuhudia huko Enugu, Kusini Mashariki mwa Nigeria ulipaswa kutazamwa duniani kote, haikutosha klabu za Nigeria kuona mabalaa yake, bali burudani hii ilihamia duniani kote.
Jioni moja ya 1990, Okocha anasafiri mpaka Ujerumani Magharibi, kipindi hicho wametoka kutwaa kombe la dunia, Okocha safari yake ilikuwa kwenda kumpa salaam mshikaji wake alikua anakipiga Borussia Neunkirchen, ndipo hapa dunia ilimtambua.
Okocha alifika mazoezini kwa mshikaji wake, alikaa tu pembeni kutazama mazoezi yao, ila baadae Kocha alimualika afanye nao mazoezi, kilichotokea baada ya pale ni kusaini mkatabandipo hapo safari ilianza pale Bundesliga.
.
Alisainiwa baadae Frankfurt ya Jupp Hynkes, alifanya maajabu makubwa sana, aliwahi kupiga bao mbele ya Oliver Kahn kwa kumzunguka mara tatumoja kati ya bao bora mpaka kesho Ujerumani, fundi mmoja Mchawi kutoka Afrika.
Maajabu ya mguu wake yalienda mpaka PSG, pale alikutana na mafundi wenzake kama Dinho, Laurent Robert na Ali Bernabiaila maajabu yote ya Dinho anakwambia yeye kwa Okocha anavua kofia, Dinho anakwambia hajawahi kumuona Jini Mpira kama Okocha.
Mtaalam wa step overs, free kicks na chenga za maudhi, mguu mwepesi na akili nyepesi, Mchawi mmoja kutoka Enugu pale Nigeria, aliyewahi kutimiza na kuweka rekodi pale Bolton.
Kura yako ya turifu unamrushia nani?Sizani kama okocha ndio best player of all time in Africa pamoja na kwamba alikua na Ball skills kubwa
swali lako jepesi ila ni Gumu sana kukujibuKura yako ya turifu unamrushia nani?
Kwa mpira upi? Okocha ni Skudu aliyechangamka.Augustine Azuka 'Jay Jay' Okocha, Mchawi na Hizi yake kutoka Enugu
Usiku mmoja kule Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria, Jimboni Enugu ile Agosti 14, 1973 alizaliwa Mchawi mmoja wa soka wakuitwa Augustine, ndio ni Augustine tu
Mitaa ya Enugu haikutaka kumwacha salama na jina lake la Augustine, wakaona kuna haja ya kumpachika jina la Jay Jay, ndipo wazungu na dunia tukaona isiwe kazi acha tumuite Jay Jay Okocha.
Mama yake Mzazi anakumbuka akimtuma dukani lazima atachelewa kurudi, atabetua chochote atakachokuta njiani, atasahau alichotumwa kama ataona watoto wanalipiga kandanda, alikua na uwezo wa kupiga danadana mpaka kitunguu au nyanya.
Mechi za mtaani kwao ziligubikwa na majonzi kwa wapinzani, chenga zake zilitegua nyonga, watoto walivishwa na kuvuliwa makanzu, alifanya kila aina ya utukutu wa soka "football crimes".
Ushuhuda na maajabu waliokuwa wakishuhudia huko Enugu, Kusini Mashariki mwa Nigeria ulipaswa kutazamwa duniani kote, haikutosha klabu za Nigeria kuona mabalaa yake, bali burudani hii ilihamia duniani kote.
Jioni moja ya 1990, Okocha anasafiri mpaka Ujerumani Magharibi, kipindi hicho wametoka kutwaa kombe la dunia, Okocha safari yake ilikuwa kwenda kumpa salaam mshikaji wake alikua anakipiga Borussia Neunkirchen, ndipo hapa dunia ilimtambua.
Okocha alifika mazoezini kwa mshikaji wake, alikaa tu pembeni kutazama mazoezi yao, ila baadae Kocha alimualika afanye nao mazoezi, kilichotokea baada ya pale ni kusaini mkatabandipo hapo safari ilianza pale Bundesliga.
.
Alisainiwa baadae Frankfurt ya Jupp Hynkes, alifanya maajabu makubwa sana, aliwahi kupiga bao mbele ya Oliver Kahn kwa kumzunguka mara tatumoja kati ya bao bora mpaka kesho Ujerumani, fundi mmoja Mchawi kutoka Afrika.
Maajabu ya mguu wake yalienda mpaka PSG, pale alikutana na mafundi wenzake kama Dinho, Laurent Robert na Ali Bernabiaila maajabu yote ya Dinho anakwambia yeye kwa Okocha anavua kofia, Dinho anakwambia hajawahi kumuona Jini Mpira kama Okocha.
Mtaalam wa step overs, free kicks na chenga za maudhi, mguu mwepesi na akili nyepesi, Mchawi mmoja kutoka Enugu pale Nigeria, aliyewahi kutimiza na kuweka rekodi pale Bolton.
Hata Ronaldinho mtamsema hivyo hivyoKwa mpira upi? Okocha ni Skudu aliyechangamka.
Unamfananisha Ronaldinho na Okocha? Wewe kweli hujui mpira.Hata Ronaldinho mtamsema hivyo hivyo
Umenikumbusha zama za hawa watu. Akina taribo west, nwanko kanu, babayaro, baba ngidaAugustine Azuka 'Jay Jay' Okocha, Mchawi na Hizi yake kutoka Enugu
Usiku mmoja kule Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria, Jimboni Enugu ile Agosti 14, 1973 alizaliwa Mchawi mmoja wa soka wakuitwa Augustine, ndio ni Augustine tu
Mitaa ya Enugu haikutaka kumwacha salama na jina lake la Augustine, wakaona kuna haja ya kumpachika jina la Jay Jay, ndipo wazungu na dunia tukaona isiwe kazi acha tumuite Jay Jay Okocha.
Mama yake Mzazi anakumbuka akimtuma dukani lazima atachelewa kurudi, atabetua chochote atakachokuta njiani, atasahau alichotumwa kama ataona watoto wanalipiga kandanda, alikua na uwezo wa kupiga danadana mpaka kitunguu au nyanya. 😊
Mechi za mtaani kwao ziligubikwa na majonzi kwa wapinzani, chenga zake zilitegua nyonga, watoto walivishwa na kuvuliwa makanzu, alifanya kila aina ya utukutu wa soka "football crimes".
Ushuhuda na maajabu waliokuwa wakishuhudia huko Enugu, Kusini Mashariki mwa Nigeria ulipaswa kutazamwa duniani kote, haikutosha klabu za Nigeria kuona mabalaa yake, bali burudani hii ilihamia duniani kote.
Jioni moja ya 1990, Okocha anasafiri mpaka Ujerumani Magharibi, kipindi hicho wametoka kutwaa kombe la dunia, Okocha safari yake ilikuwa kwenda kumpa salaam mshikaji wake alikua anakipiga Borussia Neunkirchen, ndipo hapa dunia ilimtambua.
Okocha alifika mazoezini kwa mshikaji wake, alikaa tu pembeni kutazama mazoezi yao, ila baadae Kocha alimualika afanye nao mazoezi, kilichotokea baada ya pale ni kusaini mkataba😂 ndipo hapo safari ilianza pale Bundesliga.
.
Alisainiwa baadae Frankfurt ya Jupp Hynkes, alifanya maajabu makubwa sana, aliwahi kupiga bao mbele ya Oliver Kahn kwa kumzunguka mara tatu🙌 moja kati ya bao bora mpaka kesho Ujerumani, fundi mmoja Mchawi kutoka Afrika.
Maajabu ya mguu wake yalienda mpaka PSG, pale alikutana na mafundi wenzake kama Dinho, Laurent Robert na Ali Bernabia😊 ila maajabu yote ya Dinho anakwambia yeye kwa Okocha anavua kofia, Dinho anakwambia hajawahi kumuona Jini Mpira kama Okocha.
Mtaalam wa step overs, free kicks na chenga za maudhi, mguu mwepesi na akili nyepesi, Mchawi mmoja kutoka Enugu pale Nigeria, aliyewahi kutimiza na kuweka rekodi pale Bolton.
Kwa hayo aliyofanya imetosha sana kwake, hata dinho analaumiwa kuwa hana mafanikio ya muda mrefu ktk soka km Messi na Ronaldo, naye akawajibu nilichokifanya uwanjani kwa nafas yangu imetoshaaa.Okocha alikuwa ni fundi sana shida yake kubwa ni moja tu, alizidisha mbwembwe kupitiliza, show game zilikuwa nyingi, siku akikasirika akaamua kuucheza mpira haswa basi afrika hakuna kama yeye siku akiamua kucheza mpira wake wa video za youtube anakuwa kirusi kwenye timu, angekuwa serious na soka angekuwa daraja la kina gaucho kwa uwezo wake wa kuuchezea mpira.
Ni kama kina adel taarabt tu.
Kwa uwezo wa dinho na alichokifanya, (anavyoimbwa) ni sawa sawa, anapata stahiki sawia na kiwango chake.Kwa hayo aliyofanya imetosha sana kwake, hata dinho analaumiwa kuwa hana mafanikio ya muda mrefu ktk soka km Messi na Ronaldo, naye akawajibu nilichokifanya uwanjani kwa nafas yangu imetoshaaa.
Watu wameenjoy kuwatazamaa.
Hiko kikosi cha Nigeria kilikuwa cha moto sana hawatakuja kupata timu ya taifa kali kama hiyoUmenikumbusha zama za hawa watu. Akina taribo west, nwanko kanu, babayaro, baba ngida
Uko sahihiWabongo Bana, Huyo Okocha muna mu overate sana,