Hajapata usingizi zaidi ya miaka 60!! Inawezekanaje?

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
3,227
Reaction score
5,616
Duniani kuna mambo yanashangaza sana

Kuna mzee mkulima mwenye umri wa miaka 81 anayejulikana kwa jina la THAI NGOC hajafanikiwa kupata usingizi ndani ya miaka 60

Yaani yeye anashinda anapiga zake game na kuvuta sigara halali kabisa yaani.Hata familia yake na majirani wamekiri kuwa hawajawahi kumuona akilaza mgongo wake chini

Tuliopita JKT at least tulikaa 8 weeks bila kulala na mziki wake tuliuona Je huyu wa miaka 60?

Hii ni Maajabu
 
Inaweza kuwa kweli, ila siku hizi taarifa nyingi mitandaoni ziko kimkakati zaidi...kutafuta 'viewers'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…