- Thread starter
- #41
Tulipowasaidia tulipata nini in return, heshima? maana nchi nyingi tulizozisaidia kama Namibia ziko mbali sana kimaendeleo.Mkuu hiyo ndio strength yetu. Hao wote ni vijana wetu, wengi wamekulia hapa nchini hivyo wengi ni kama wanarudi nyumbani. Hivyo hawawezi kususia. Ingekuwa nchi myingine, wangesusia, siyo Tanzania.