Hajahudhuria SUMMIT hata moja anataka wenzake wahudhurie

SADC ina vikao vya kila aina, mtoa maada anauliza kwenye vikao vya wakuu wa nchi huyu kiongozi wa Malaika amewahi kuhudhulia hata kimoja?
Kinachoangaliwa kwenye hizo jumuia ni namna gani nchi mwanachama anashirikiana na nchi nyingine wanachama, summit kama hizo ni sehemu tu ya ukamilifu wa hizo jumuia.

Tanzania inashiriki vyema katika hizo jumuia, na haijawahi kukosa summit hata moja, inregadless ya aina ya uwakilishi wake.
 
Kama ni propaganda tuambie ni kikao gani cha SADC aliwahi kuhudhuria.
Not necessarily kwamba viongozi wengine wa SADC hawatakuja kushiriki kikao Dar ushiriki wa Makamu wa Rais au PM unakuwaga umebeba mandate zote kama Rais!
 
Kama kikao hakisaidii kitu na hichi cha hapa kwetu akajifiche chato, vijana wa lumumba akili zenu cjui ni matope

Point yako ni nini? Sijawahi kuwa lumumba by the way. Chama chochote ila naangalia kazi ta mtu.

Unajua mnabeza, mnamkeji, mnamtukana, mtatufungia account.

Kwamba you leaders wanamuita mshamba, limbukeni. Ameokea maisha ya mamilioni ya watanzania maskini
 
Kwani ni lazima ahudhulie yeye John? Kama alituma mtu na taratibu za mkutano zinaruhusu shida iko wapi? Akili za UFIPA mbaya sana sio za kurithisha watoto.
 
mnaolazimisha aende kwenye vikao... aende akaongee nini uko?? kisukuma?? au mnataka tupate aibu ya mwaka...??

Hata kisukuma ni sawa. Umekariri lazima uongee kiingereza.

Nani amesema kiingereza ni lugha ya dunia, kwanini isiwe kisukuma?
 
Tumezisaidia sana hizi nchi. Hawawezi kususia. Wakipata matatizo Tanzania ndio itayowasaidia. Wanajua hivyo. We have got moral authority.

Tuliwekeza sana kuisadia Africa tukifikiri tutaungana baadaye wakipata uhuru.

Tumejifunza. Charity start at home.

Magu kaza buti, tembea kila kata, wilaya, mkoa, sehemu zote.

Uwahoji watendaji hadharani, wawajibishe, kama hawajui majukumu yao, details, tumbua hapo hapo. Ila tusimuonee mtu yoyote.

Ni wakati wa kukaa nyumbani, kuisadia familia (Tanzania). Nyerere aliwasaidia vya kutosha.
Mkuu hiyo ndio strength yetu. Hao wote ni vijana wetu, wengi wamekulia hapa nchini hivyo wengi ni kama wanarudi nyumbani. Hivyo hawawezi kususia. Ingekuwa nchi myingine, wangesusia, siyo Tanzania.
 
Tumezisaidia sana hizi nchi. Hawawezi kususia. Wakipata matatizo Tanzania ndio itayowasaidia. Wanajua hivyo. We have got moral authority.

Tuliwekeza sana kuisadia Africa tukifikiri tutaungana baadaye wakipata uhuru.

Tumejifunza. Charity start at home.

Magu kaza buti, tembea kila kata, wilaya, mkoa, sehemu zote.

Uwahoji watendaji hadharani, wawajibishe, kama hawajui majukumu yao, details, tumbua hapo hapo. Ila tusimuonee mtu yoyote.

Ni wakati wa kukaa nyumbani, kuisadia familia (Tanzania). Nyerere aliwasaidia vya kutosha.
Kuwasaidia haina maana watuogope. Hujawahi ona wazazi wanasomesha watoto kwa shida, lakini watoto wakianza kazi huwasahau wazazi wao?
 
Hata kisukuma ni sawa. Umekariri lazima uongee kiingereza.

Nani amesema kiingereza ni lugha ya dunia, kwanini isiwe kisukuma?
Ni lugha inayotambulika kimataifa, Kisukuma nani anakitambua hata Majaliwa hakijui.
 
Back
Top Bottom