SADC ni Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, inajumuisha nchi 16, hufanya mikutano yake ya SUMMIT kila mwaka inayowakutanisha wakuu wa nchi hizo sambamba na vikao vya Kazi.
Rais wetu hajawahi kuhudhuria mkutano wowote wa SADC Summit tangu aingie madarakani 2015, amekuwa akimtuma aidha Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu au Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa.
Hajawahi kukutana na wenzake kwenye vikao vya Kazi lakini anataka wenzake waitikie mwaliko wake.
Kuna kipindi zilisikika fununu za baadhi ya marais na Wakuu wa nchi kupanga kususia Dar es Salaam Summit, kuokoa hali hiyo juhudi za ziada zilifanyika zikiongozwa na rafiki yake Kagame alimshauri ahudhurie kuapishwa kwa Ramaphosa, baada ya hapo atembelee baadhi ya nchi za SADC ili kujenga imani kwake. Kweli alihudhuria na baada ya kutoka SA Magufuli alitembelea Namibia, Zimbabwe, na Malawi.
Ni rais wetu sawa, lkn tunapokuwa member wa jumuia hasa za nje kuna baadhi ya tabia lazima tuseme wazi hazifai kuzionyesha. Kwa hali hii tusione ajabu kwa baadhi ya wakuu wa nchi za SADC kutohudhuria na baadhi kutuma wawakilishi.
Ukweli mchungu.