Uuh haufutwi usiogope
Na nnavoshinda na khanga tu begani ungefaudu
endelea kusubiri labda file ni 32GB picha za kusaka sana
vuta subira
Hahahaaaa....shombee kabadili mawazo ngoja tumuombe Evelyn Salt ajisalimishe mwenyewe kwa kujitupia picha zake humu
Halafu huyu Evelyn Salt asituchanganye.. ye anadhani mapozi ya Mbagala sisi hatuyajui eeeh!!
Hii sio yako, hii ya msanii wa ulaya na thread yake ipooo.
Na tecno mkononi volume 7 naburudisha mtaa mzimaKama nakuona vile na kanga yako moja unaenda kununua mkaa na kopo lako mkononi....
ngoja niende kwenye uzi wa muungano
Ha ha ha ha hapo sikuwa mbagala jameni ni mlimani city
We unadhali uvileji wa mbagala hata ukienda mlimani city unaisha??? Tungeuona machoni lazima
nameless girl eti Mgirik ni shombe????
We unadhali uvileji wa mbagala hata ukienda mlimani city unaisha??? Tungeuona machoni lazima
Na tecno mkononi volume 7 naburudisha mtaa mzima
utanitaka...
Nikiwa na safari ya mlimani city full kujandaa
na nna kifunguo cha gari nilikiokotaga nakining'iniza mkononi
Shoga hamna hata muwekaji picha hapa, na ninatoa muda hadi saa kumi na moja isipowekwa picha yoyote basi ntaweka yangu.
Kurushana roho tu....! Halafu Tayta yuko wapi jamani? kingekuwa kishaeleweka hapa.
Uuh haufutwi usiogope
Hehehehehhhewh unataka kusema huyo ni ww usitake nizimie hapa au nitoke nje nitembee uchi ktk apa om had coco