Heee ilikuwa vita nikajua ashatupia ile kitu inayomuua jerry???
Wadau nimeona uzi hapa kuwa umukagame anatamani afe..... wadau wakampa ushauri... 99% walisema bora afe... nahitaji kujua status yake msiba uko wapi?? Evelyn Salt, Vaislay, mshana jr, mgiriki, Heaven on Earth, [MENTION=104748]Matokeo1[/ MENTION], miss chagga, l
Umerudi katika normal sense eeenh?? Nisingepata faida ila usiseme vitu ambavyo huwez kuvitekeleza.... m glad umzima
Nlikuwa na strees sana nlivyoingia hum nkazd kuchngnyikiwa bt yalishapita ya jana!nikipanga tna utajulishwa
Ningekufa ww ungepata faida gani hehehe
Nlikuwa na strees sana nlivyoingia hum nkazd kuchngnyikiwa bt yalishapita ya jana!nikipanga tna utajulishwa
Kufa bana wengine tupate dili, we unadhani hii biashara yangu ya sanda na jeneza itatokaje?
Btw hebu njoo hapa kona ya Muhimbili uchague kabisa jeneza lako marehemu mtarajiwa...
Fursa!!!Hahahaaa, huwezi amini nimekupenda bure.
Sasa tuongee deal mwaya, ukitak kujiua tena unipe namba za huyo habibty ili ukifa nikutunzie.
Sasa stress zako ukataka kutustress na sie? Kuwa na hekima bwana, ukija hapa sema nna stress one two. Sio unaanza kutukana watu hapa. Na usiseme uongo, manake utakustress zaidi (id mbili ni uongo na uoga wa maisha)
hivi unadhani hata mimi nikifa jf nzima italia? Najua nina marafiki wachache watatoa mchozi, na wengine wachache watasikitika for five minutes na kusahau. Infact ukijiangalia watakaokulilia (kama bado hujawachosha na drama zako) ni nduguzo wa damu.

Hahahahahah ucwaze ntakupmHahahaaa, huwezi amini nimekupenda bure.