Haiwezekani, narudia tena haiwezekani

Hata miye sikubali. Kwana hizo nazo zaitwa nywele?? Abadili sentensi amwambie kakuta nini kwenye supu, ka hajui jina lake alipe supum aende zake.
aalah!
 
Teeh teh teeeeh
Kipwapwiso na manyoya yake
 
Hata miye sikubali. Kwana hizo nazo zaitwa nywele?? Abadili sentensi amwambie kakuta nini kwenye supu, ka hajui jina lake alipe supum aende zake.
aalah!

Hela lazima atoe atake asitake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…