Haiwezekani kushusha thamani ya dola ya Marekani

yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.
Wabongo tunajifanya,tuna akili ndo maana tunatapeliwa hata na wajinga kama unaamini vitu vya kupumbavu kama hivyo
Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Wabongo tuna
 
Nani kakudanganya ww usa anakuja na mbinu mpya ya cryptocuency tyr ashatengeneza pesa inaitwa Pi network we shangaaa tu yuko mbele miaka 100 atahama dollar ataingia pi na sahz inagawiwa bure kwa mfumo wa mining
Pi sidhani kama ni project yao angalau ungesema USDT inayotumia Tether Network ambayo ndio stable crypto na inafanya transactions nyingi sana kwakweli na demend yake iko juu lakin haivuki msitari wa $ 1
 
Hapana mkuu, $ nguvu yake ipo kwenye ucelebrity. Yaani kila unapogeuka ipo. Ilianza kutokushikika baada ya mataifa kukopeshana kwa $. Hii ilisababisha demand ya $ ikapaa mno, maana nchi zina madeni interm of $ na zinahitaji $ kuyalipa. Hapa ndipo mtego ulipo, Sarafu mpya yoyote ikiweza kutegua huu mtego $ inakufa kifo cha mende, ndembe ndembe.
Sisi kama wadaiwa tukiamua kuidhulumu USA shida ipo wapi? Sisi ndio wabongo hatulipi deni😁😁😁
 
America kuna watu wengi sana wanamiliki silaha nyingi sana majumbani kwao hilo pia ni mtihani
Sio silaha moja au 2 bali mpaka 100 wapo
Jews wanakusanya nguvu ili wawe taifa lenye nguvu yaani wanachukua watu wa race yao tu ...Ila USA haina nguvu ya umoja ndio maana ukifuatilia ndani kwa ndani wana wanamvutano mkubwa hata ukienda kweny majimbo yao .
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
sis tunaoshindwa kuikemea serikali kwa maslahi yetu wenyewe lazma kila kitu tuone kigumu kwetu
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Iiichapwa vita ya dunia nyingime afu US achapike basi dollar itashuka
 
Pole sana . Putin ana akili sana kukuzidi wewe hapo mkuranga.
 
Bichwa lako la habari lingine, utumbo wako wa habari mwingine.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Jews wanakusanya nguvu ili wawe taifa lenye nguvu yaani wanachukua watu wa race yao tu ...Ila USA haina nguvu ya umoja ndio maana ukifuatilia ndani kwa ndani wana wanamvutano mkubwa hata ukienda kweny majimbo yao .
Jews wamejipenyeza kila mahali na wamewekeza kwa kila kitu na wamejaa 🇺🇸 mpaka kwenye serikali
Jeffrey Epstein alikuwa myahudi yule aliefia jela
Na ndio aliemuunganisha Clinton na Monica (jew pia)
Kuna rekodi nyingi mwanamke huyo alimrekodi kama masaa 30
Hawa watu woga wao umewafanya wawe kunguru kwa kila kitu na wanajikusanya pamoja

Ila kuongoza dunia sidhani
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Kinacho fanya marekani kuwa na nguvu sio sarafu yake ya dollar pekee. Sarafu ni matokeo tu . Kumbuka pound na euro zina thamani kuliko dollar. UK kabla ya USA ilikuwa ni power house ya dunia lakini ilpoteza nguvu kwenye Karine ya 19 lakini sarafu yake bado ina nguvu. Ili USA impoteze nguvu, lazima kwanza vitu viwili vitokee. Moja mfumo mzima wa bank duniani ufe kabisa. Pili mfumo mzima wa kisiasa wa dunia ufe na uzuke mwingine tafauti kabisa na huu wa sasa . Yaani kusewepo tena UN na matawi yake yote. Ili hilo litokee lazima vita ya tatu ya dunia itokee na ikitokea atakaye shida ndiye atakaye Azisha mfumo mpya wa kiutawala duniani kote.
 
Uchumi haufanyi kazi hivi...

BRICS ni muungano wa nchi Maskini ambazo zinapolitical instability kila baada ya Miaka 5.

Only Euro kwa sasa Ndio inaweza kuitoa Dola kama wakiwa Neutral but that is USA the advantage.

Sharti la kujiunga na BRICS ni zile nchi 5 zikupende tu, sharti la Kujiunga EU mfano
1. Ubadili Sheria zako zinahusiana na Rushwa kwa kuhakikisha Rushwa kweli ni Adui wa haki.
2. Mihimili ya Nchi iwe na nguvu na Uhuru sawa bila kuingiliana
3. Nchi iwe na utawala wa Sheria
4. Uhuru wa soko.

Jana Uganda iliingia BRICS kama partner state... Nchi ambaye Kuna zaidi ya 60% Rais atafia madarakani alafu power struggle ianze, no succession plan
Aina nyingine ya Wanachama wa BRICS Ni Venezuela, Beralus.

Hakuna economic opportunities ndani ya BRICS kwa wananchi, i.e there is justifiable reason ya Wahindi kwenda China kama skilled workers and vice versa, Wala kwa Wanachama wengine
Ndugu mnapotamka nchi zinazounda BRICS ni maskini mnashangaza sana!!, ndiyo maana Marekani ziara kwenda saud arabia haziishi, unafikiri ni kwanini? nchi nyingi za asia ndio wanaoshikilia uchumi wa dunia kupitia mali asili walizonazo ikiwemo urusi. Na nchi nyingi za asia zimeonyesha nia ya kujiunga na BRICS hivyo kupeleka malipo ya petrol doller kudorora ndiyo kisa USA anajitahidi sana kuhakikisha saud arabia hajiungi na umoja huo, hata katika mkutano walitarajia atatangaza kujiunga lakini hakufanya hivyo kwa mlizisha USA.
 
Kinacho fanya marekani kuwa na nguvu sio sarafu yake ya dollar pekee. Sarafu ni matokeo tu . Kumbuka pound na euro zina thamani kuliko dollar. UK kabla ya USA ilikuwa ni power house ya dunia lakini ilpoteza nguvu kwenye Karine ya 19 lakini sarafu yake bado ina nguvu. Ili USA impoteze nguvu, lazima kwanza vitu viwili vitokee. Moja mfumo mzima wa bank duniani ufe kabisa. Pili mfumo mzima wa kisiasa wa dunia ufe na uzuke mwingine tafauti kabisa na huu wa sasa . Yaani kusewepo tena UN na matawi yake yote. Ili hilo litokee lazima vita ya tatu ya dunia itokee na ikitokea atakaye shida ndiye atakaye Azisha mfumo mpya wa kiutawala duniani kote.
Kama nimekuelewa, asasi, taasisi na mashirika yote makubwa duniani, zipo kwa maslahi mapana ya Marekani.
 
Kinacho fanya marekani kuwa na nguvu sio sarafu yake ya dollar pekee. Sarafu ni matokeo tu . Kumbuka pound na euro zina thamani kuliko dollar. UK kabla ya USA ilikuwa ni power house ya dunia lakini ilpoteza nguvu kwenye Karine ya 19 lakini sarafu yake bado ina nguvu. Ili USA impoteze nguvu, lazima kwanza vitu viwili vitokee. Moja mfumo mzima wa bank duniani ufe kabisa. Pili mfumo mzima wa kisiasa wa dunia ufe na uzuke mwingine tafauti kabisa na huu wa sasa . Yaani kusewepo tena UN na matawi yake yote. Ili hilo litokee lazima vita ya tatu ya dunia itokee na ikitokea atakaye shida ndiye atakaye Azisha mfumo mpya wa kiutawala duniani kote.
Akili nyingi hii
 
Russia plans to assign one interpreter to every 30 North Korean soldiers for better coordination with Russian troops on the battlefield, Ukraine's military intelligence agency reported on Oct. 25, citing an intercepted conversation between service members of a Russian brigade in Kursk Oblast.
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.

nakubaliana na wewe kuwa dollaer bado itaendelea kuwepo sana na hata marekani bado itaendelea kuwa na nguvu kiuchumi.. lakini sio kwa kuwa kuna nguvu kubwa nyuma yake US anatumia. kwanza swala la nchi kuacha kutumia dollar hata sio swala kujadili maana yake biashara ya Nchi na nchi ndio ina determine mnakubaliana kufanya biashara kwa kutumia currency ipi hamlazimiswi kutumia dollar . its na optional kama mnaaminiana. hapana itaendeea kuwepo kwasababu bado itatumika na watu wkenye biashara

sasa hiv biahsara za Dunia za kimataifa Reserve currency zinazokubalika ni Euro na Dollar ingawa Euro imebase kwenye biashara za ulaya wenyewe kwa wenyewe ila hata kwa africa an asia watu wanakubali sababu watu uwezo wake wa hiyo currency husika kukubalika kwenye mzunguko wa biashara dunian

so BRIS currency itakuwa kama "EURO tu nothing special na yenyewe ikiendelea kuongeza wanachama itatanua wigo wa kukubalika dunian. i

lengo la brics sio kuishusha dollar dollar ikishuka basi ni sababu ya uchumi wa marekani umeshuka. sio sababu kuna nchi zimeacha kutumia Dollar. marekani ni prodocuer mkubwa duniani na anauza sana nje ya nchi. ucumi wa nchi unapanda kwa kuweza kuzalisha na kuuza sana nje kuliko kuwa mtumiaji mkubwa wa bidhaa za nje,

ndio maana china ana uchumi mkubwa ila pesa yake thaman yake ni ndogo kulinganisha na nchi kama Mozambique. Rand moja ya SA ni sawa na yen 8 ya china wakat huo huo rand 1 ya SA ni sawa na Metical 3 ya mozambique. utaona ukubwa wa thaman wa pesa ya nchi sio issue na wala ha determine ukubwa wa uchumi wa nchi husika.
 
Hata hao Brics wananchi wao wanatamani kuhamia USA kutafuta maisha bora hata wewe Mwandishi ukiambiwa Upelekwe Urusi,china,korea ya Kiduku,na brazil, India uchague nchi Gani Kati ya Hizo ulinganishe na USA Kimoyo Moyo lazima uchague Us 🇺🇸 kutfuta Fursa za Maisha bora .
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Je umeiona hii ya leo
IMG-20241211-WA0042.jpg
 
Unaumia ukiwa wapi mkuu
 
Linganisha na kauli hizi:

1. Titanic haiwezi kuzama kamwe; hata Mungu hawezi kuizamisha.

2. Dola ya Babeli (baadaye wakasema Rumi) haitoweza kuangushwa kamwe.

3. Michael Jackson hawezi kufa.

4. Korona haiwezi kuisha.

5. Makao makuu ya Bongo hayawezi kuhamia Dodoma.
Rumi bado ipo na itaendelea kuwepo na kiongozi wake ni Pope.. Rome ilichange from brutally power to spiritual powerful without use force they just enjoy happiness life worldwide with full-time supports. Even if you try to move against them you will in big trouble. Bado wana influence kwenye politics nchi zote
 
Back
Top Bottom