haiwezekani aisee, kila kitu kina umuhimu wake
haya ulioyo andika yanahusiana na hii thread?au unaandika tu?
...ashadii we cheka tu, hayajakukumba ee?
Hujawahi ona mtu anapenda kitu mbadala mpaka anajisahau
Ana mke/mume nyumbani?...it can be anything, watu wana myuti tu kuungama...

...mmeona ee? Yaani, kuna kitu piga ua wewe hata ukiwa na mpenzi wako pahala popote na wakati wowote, ukikumbukia tu..mawazo pia yanahama..
Iwe ni pombe, kamari, udaku na umbea, mpira, segere na mdundiko..etc
kuna vitu vya ku confess na vingine ni bora uviache kama vilivyo...lol
mfano nakupenda saana,but nikiona mdada mwenye wowowo kukuzidi...naishiwa nguvu kabisaaa....i cant help it...lol