Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

Mshukuru MUNGU kwa uwezo huo aliokupa . Mwambie Ahsante Mungu

Sio Rahisi kufahamu matendo mabaya ya adui yako.
Si kweli kwamba tunaoteshwa na Mungu ili tuwajue adui zetu..tuwajue ili tuwafanye nini?? Mawazo ya Mungu na ya wanadamu ni tofauti kabisa.. Kuota Ota maono ya kishirikina ni sehemu ya nguvu hizo hizo za kishirikina.. Kama tuliambiwa tuwapende maadui zetu. Tuwaombee wanaotutesa kama ni kweli maono yake yangekuwa yanatoka kwa Mungu.. Chuki alizonazo zingetoka wapi?? Imani ni jambo gumu kuliko wengi tunavyolitafsiri kirahisi rahisi tuu..
Kuwa eti ikiwa hivi jibu lake ni hivi no... Hizo ni Roho za utambuzi na uaguzi.. Baba yao ni mmoja..
 
Adui wa kwanza ni mindset yako mwenyewe imewekeza sana kwenye mambo ya kichawi na umesema kuna kitu mlikosana na ukaanza kumchukia basi akili yako ikapata sababu ya kuota unachoota.

hicho unachoota ni mazao ya unachokifikiria sana muda wote.

Jiulize wewe muda mwingi unakuwa unafikiria nini? hata usiposema hapa lakini mwenyewe unajua unachokifikiria muda mwingi.

Iko hivi chochote unachokifikiria muda mwingi lazima kitaanza kuapply in your real life au ubongo wako utaanza kucreate illusions ya unachikifikiria in real life. sasa Ondoa hiyo dirt mindset uliyonayo sasa hivi au utaendelea kuota unachoota nonstop.
 
Back
Top Bottom