Halafu wote hao wanapangwa hapahapa Dar, hapo kwa haraka sioni sura ya kupelekwa Kishapu, Kakonko, Mpanda wala Tarime!!Eti hawa wamemaliza depo jana.. nimejiuliza sana tena sana bila majibu! kweli hawa walikuwa depo au walikuwa kwa OBAMA? umalize depo jana uwe hizi! hapa bunduki zetu lazma zichukuliwe tu.View attachment 360087
Hao wakija huku Dar kila siku nitafanya makosa wanikamate
Afande sina bima wa lesseni naomba unikamate...Eti hawa wamemaliza depo jana.. nimejiuliza sana tena sana bila majibu! kweli hawa walikuwa depo au walikuwa kwa OBAMA? umalize depo jana uwe hizi! hapa bunduki zetu lazma zichukuliwe tu.View attachment 360087
Ndugu nakuunga mkono ndio maana kule jeshini kunakawimbo kanasema,polisi pushapu kwenye godoro nakuroll kwenye kapeti lakini kurut wa jw pushapu kwenye kokoto.Kawimbo katamu sana ukikasikiaDah! Hawa hawakuwa depo ila polisi mafunzo yao hovyo depo lipo JW na Magereza.
Duhhh! Hilo depo lilikuwa kali sana mpaka mtu anapata muda wa kupaka rangi. Hebu muangalie huyo wa kwanza kabisa mkono wa kulia katika vidole vyake utajua jinsi maafande wa CCP walivyokuwa na shughuli! Mapema yooote hii anapata muda wa kupaka rangi!Eti hawa wamemaliza depo jana.. nimejiuliza sana tena sana bila majibu! kweli hawa walikuwa depo au walikuwa kwa OBAMA? umalize depo jana uwe hizi! hapa bunduki zetu lazma zichukuliwe tu.View attachment 360087