Haiti: The blackman misery

Haiti: The blackman misery

Tet Kale - Tafsiri yake kipara (Mikael Martely) anatarajiwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa Rais uliofanyika Jumapili. Kwa mtizamo wangu ili litakuwa kosa kubwa kumpa nchi huyu mwana muziki!!!! Nafikiri kuna watu wanajaribu kutumia umaarufu wake kumweka ikulu halafu wawe wanaongoza nchi kwa remote control!!!!!

Tiba
 
TIBA nakubaliana na wewe 100%. Hii nchi, kwa matatizo waliyonayo inahitaji a VISIONARY leader ambaye atakuja na mawazo mapya ya jinsi ya kupambana na mitihani waliyonayo; maradhi, njaa, umaskini, ukosefu wa makazi, na uhalifu. Lakini nadhani wengi wao wanaangalia umaarufu wa mgombe tu. Hii nchi bado inasafari ndefu sana kwa kweli.
 
Hii inaonyesha waafrika bado tuko mbali hatuwezi kujiendeleza. sijui ni akili au nini.
 
Tet Kale - Tafsiri yake kipara (Mikael Martely) anatarajiwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa Rais uliofanyika Jumapili. Kwa mtizamo wangu ili litakuwa kosa kubwa kumpa nchi huyu mwana muziki!!!! Nafikiri kuna watu wanajaribu kutumia umaarufu wake kumweka ikulu halafu wawe wanaongoza nchi kwa remote control!!!!!

Tiba
Naomba ufafanuzi kidogo kabla sijachangia, kwa nini kumpa huyu ni kosa? Kwa sababu ni mwanamziki? Kwa sasabu ni mweusi? Kwa nini?
 
Mammamia, sidani kwamba sababu ni kuwa mwanamuziki au mweusi, by the way nchi yenyewe ni 99.9 black. Binafsi nasita kumkubali huyu jamaa kutokana na matatizo yanayoikabili hii nchi. Kwa nchi yenye umri wa miaka 209 (Independence 1802) na ambayo imeptia matatizo ya kila aina, kuanzia Imperialism, Dictatorship, na Corruption kumpachika mzigo kama huu ili kuiokoa Haiti ni makosa makubwa sana.

Ni kweili kwamba hayuko tainted na corruption kulinganisha na candidates wengine, lakini hili ni jukumu kubwa sana kuliko uwezo wako. Sina hata uhakika kama ana college DIPLOMA.Honestly, kwa jinsi ninavyoangalia hali ya Haiti, Martelly atatumiwa tu na the ELITE class ya Haiti katika kuendeleza agenda zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom