Haiti....shida ni nini hasa?

Mbona China,Korea na Wahindi wana miungu yao ya asili?

Lakini sio masikini km Haiti?

Unlike hayo mataifa uliyoyataja, Haiti wali declare public kuwa nchi yao ni ya voodoo ambao ni ushetani wa kiwango cha juu
 
Siyo kweli, benyamin netanyau alimuunga mkono mitty romney kwenye uchaguzi uliopita na bado alipigwa chini

Siyo kweli, benyamin netanyau alimuunga mkono mitty romney kwenye uchaguzi uliopita na bado alipigwa chini
Sijaongelea kumuunga mkono mtu...
naongelea kua kila mtia nia ya urais ama rais lazima akubaliwe ama "afanye mazungumzo" na Wayahudi, huko kushinda ama kutoshinda ni mambo mengine..ila wagombea lazima "wapitishwe" na wayahudi
 
Mkuu hizo kamba tu, mbna makanisa yako tu, je kuna nchi isiyokuwa na wachawi?

Ni kweli wale walitakiwa wawe chini ya taifa lingine, mfano kuna kisiwa kipo kile Argentina kinamilikiwa na uingereza

Kile kisiwa Argentina huwa anakipigania miaka nenda rudi kirud mikonon kwake, lkn raia wa kile kisiwa hawataki kuwa upande wa Argentina

Maana wenyewe kwenda uingereza ni kutafuta nauli tu, na kwenye bajet ya uingereza wapo

Siyo kweli, ingia kwenye forum zote za usa hicho unachosema hata hakina nguvu kubwa hivyo

Sijaongelea kumuunga mkono mtu...
naongelea kua kila mtia nia ya urais ama rais lazima akubaliwe ama "afanye mazungumzo" na Wayahudi, huko kushinda ama kutoshinda ni mambo mengine..ila wagombea lazima "wapitishwe" na wayahudi
View attachment 419153
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…