Haithamkim amefanyaje?

FA amesema atatibiwa tayari watacover bill serikali
 
FA amesema atatibiwa tayari watacover bill serikali
🤣🤣🤣Kumbe hawana hela mb.wa Hawa,wakiugua wanategemea serikali Kama watumishi wa umma tu
Anzia leo tusiwasikie wakitukana wasomi fullstop
Eti Nina hela na Nina jina nyokooo
Labda fedha haramu za masharti huwezi hata saidia nduguyo akiugua
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]km Kuna Watu badala ya kuwaonea donge tunatakiwa tuwaonee huruma ni wasanii na Watu maarufu Wana maisha ya hovyo mnoo Ć fu magumu
 
We dada inaonyesha ni mswahiliswahili sana .
 
Sisi tukiwambia tuna shida wanatwambia" Tafuta hela"

Sasa misaada ya nini tena?
 
Ina maana Niiteboshen kakosa laki 7 ya kulipia? Au zile tattoo anachora bure?
Laki 7 kwa siku, kuna sindano anaichoma ndio inacost laki 7 na anachoma kila siku. Nimesoma hivyo sehemu
 
Hawana mbambamba? Kampuni nyingine za bima wanna roho nzuri kwenye kutafuta wateja,sio kuwahudumia. Na Wana tofauti gani na NHIF?
Tofauti ni price na coverage.....NHIF bundle zake zipo juu na unatibiwa kila hospital..Hii ya Strategy si kila hospital utatibiwa utapewa list ya hospital utazoenda....ila ndio bei rahisi sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…