...BY POLICE.
Hili ni tangazo ambalo limewekwa kwenye makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani.
Chukulia kuwa mtu hajui Kiswahili na ameliona hilo tangazo (na kumbuka kuna tangazo jingine getini barabara ya Ohio lenye maandishi KUTOKA/OUT) na akasimama eneo lililokatazwa.
Tutamhukumu huyo mtu kwa kukiuka amri huku yeye akidhani "Hairuhusiwi kusimama eneo hili" tafsiri yake ni "By Police"?
Kwa nini tunajidhalilisha hivi lakini? Hivi hakuna mtu yeyote wizara nzima ya mambo ya ndani ambae hajaona umuhimu wa kutafsiri hiyo amri kwa Kiingereza?