MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,013
kuna mtu kanivuruga na msubiria aamke kale kachangu kanachojiita swisme
kilibadili id sasa nimeipata id yake ndo nimekajua kalivyo nimekatukana nakasubiri kaamke
uwenda asubuhi nikaliwa ban
masai dada wacha hizo bana achana na visasi huyo dogo ni mpuuzi tu dawa yake ni kumpuuzia
Last edited by a moderator: