Chama Cha Majambazi bila kuomba kura hawatoboiInashusha heshima ya serikali kuiba kura au kufumbia wizi wa kura serikali ni chombo kitakatifu hakipaswi kufanya hayo.
sasa kama ni hivyo kwa nini vibaka wanachomwa moto huko mitaani na madumu ya petrol?Wasipoiba kura watashindaje?
NAFIKIRI UJUMBE UMEFIKA KWA VIONGOZI WA SERIKALI WENYE AKILI, UKISIKIA WATU WAKIANZA KUDHARAU VIONGOZI, KAMA YULE MKUU WA MKOA FULANI ALIYEISEMA YANGA, NI mambo ya hivi Sheria za HOVYO zinatungwa ili kuhalalisha wizi WA KURA, bdae wanaona Mali za ummaInashusha heshima ya serikali kuiba kura au kufumbia wizi wa kura serikali ni chombo kitakatifu hakipaswi kufanya hayo.